alaf city area ni 690km sq ikiwemo nairobi national park na mapori kila kona wapo 6.9m alaf mtu anashangaa 2.5m people kuishi kiberaDaima Dar haiwezi kukaribia nairobi kwa wingi wa watu, imagine kanchi kenu ni kadogo lkn mpo zaidi ya 60m, usishangae nairobi kuizidi Dar kwa idadi ya watu.
View attachment 3475661
Hili liko central Kenya kwa Wagikuyu😅😅Slum lingine hilo, yn hii nchi kushoto kulia ni ma slums tu, slum hili hata sikuwahi kulisikia 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣View attachment 3475676
Nilidhani mnajenga BRT lane, kumbe bado mnaendelea kukinga maji kwa ndoo yenye matundu?View attachment 3475339
😍THE Upperhill viaduct, the construction pace has picked up👏
duh kuna hadi slums za gorofa Salute Nairobi 🫡Kwahiyo ukipunguza angle ndo unadhani utaficha ma slums ya kenya? Nioneshe sehemu yoyote kenya nitakuonesha slum, kitisuru hii hapa ukibisha naongeza angle 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣👇👇👇View attachment 3474914View attachment 3474916
Kila mtu ajenge kwao, sio lazima tufanane bro.Nilidhani mnajenga BRT lane, kumbe bado mnaendelea kukinga maji kwa ndoo, yenye matundu.
As usual, one step forward, two steps back.
Sasa mbona unaweka mpira kwapani? Wacha tufanye discussion ya hii makitu.Kila mtu ajenge kwao, sio lazima tufanane bro.
'wapi za shakahola?' Naye Kibabu ka uliza😂🤣😂🙌...👇Wapi Za Shakahola?
Then go ahead, na discussion iwe ya hoja, usianze leta feelings za kike hapa. Tunaenda na facts.Sasa mbona unaweka mpira kwapani? Wacha tufanye discussion ya hii makitu.
I wonder how Tanzanians reason. So kujenga viaduct is a step backwards? And who told you that building a brt system is a step foward? Chuki itawamalizaNilidhani mnajenga BRT lane, kumbe bado mnaendelea kukinga maji kwa ndoo, yenye matundu.
As usual, one step forward, two steps back.
🤭😂😂😂😂vipi na hii,umewai sikia?Slum lingine hilo, yn hii nchi kushoto kulia ni ma slums tu, slum hili hata sikuwahi kulisikia 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣View attachment 3475676