concordile 101
JF-Expert Member
- Oct 13, 2013
- 6,999
- 15,466
Hahaa sijui mnaishije hiviKipindi cha ujenzi wa bi ara tii you say? 🤣🤣View attachment 3474779View attachment 3474781View attachment 3474782View attachment 3474783
Kigamboni 578km2 Nairobi 697km2 hapo kukiwa na slums zaidi ya 20, national park yenye 118km2 while kigamboni hakuna slums , zaidi ya hapo ni municipal ambayo haina slums kama nairobiWhat's the size of Kigamboni?
Sisi tuanataka anyanganywe furaha yetu ni kuona hapati tuone ni kampuni gani ya kikenya itaweza kuwekeza kwenye hiyo league yenu. Kama kbc tu hata mechi moja alishindwa sembuse kupewa league zima. Quality ya kbc haiwez fikia hata robo ya Azam quality.Hii issued ya Azam kuelekea kupokonywa rights za kutangaza KPL umewauma sana 😂😂😂
Jana niliona moja wenu kasrma alipwe pesa aondoke😄😄
Sasa hapa si afadhali kuliko hukuKipindi cha ujenzi wa bi ara tii you say? 🤣🤣View attachment 3474779View attachment 3474781View attachment 3474782View attachment 3474783
hizi pic za mwaka gani ??? 😂😂😂😂Kipindi cha ujenzi wa bi ara tii you say? 🤣🤣View attachment 3474779View attachment 3474781View attachment 3474782View attachment 3474783
Unataka tujisumbue wakati bado Kuna vitu vya kufanya na ukatengeneza pesa zaidi , hujiulizi kwanini majority ya kundustan wanakimbilia tz kuomba vibaruaComforting yourself again? 🤣🤣🤣🤣🤣
I like it bongolala. Individual achievements you say? How will you know most sporting events have individual participants when your country doesn't participate in any of them? How is javelin, or swimming, for instance, supposed to be a team event? Bongolala katika ubora wake! 😂😂😂
And now it's about interests? 🤣🤣🤣🤣🤣🤣. Bongolala, stop hiding behind that word interest. Ni talent hamna. Period!
Talking of that, tell us team even one team event ambayo Tanzania has ever won an Olympic or world tittle in
Kaenda kuokota mpaka picha za mvutihizi pic za mwaka gani ??? 😂😂😂😂
nijibu bila hasira kwasababu mm nakuletea ushahidi wa leo hii
Maana FIFA wana uwezo mdogo wa kufikiri kama wewe. 😂😂😂Hawaamini tunapiga timu iliyopiga Portugal.😂😂😂
Vile naona after Chan tunaingia top 100 FIFA rankings.
Haha utaelewa tu bila msaada nyinyi hamuishi haya mambo Tanzania huyakuti eti mtu afe kwa njaaa kweli sababu ya kukosa msaada, tukiwaambia nyinyi maskini wa kutupwa mnaona tunawaonea.🤣🤣🤣🤣🤣Hiyo kiingereza haujakielewa sawa how will I engage you on hat link you posted?
Changing gear now? I like it when you can't handle voice of reason. As I said, continue cheering on Yanga na Simba. That's the only sport you know. Siku mtaanza kung'aa kwenye world stage like we do, kuja kwenye meza ya mazungumzo. Have a good day!Unataka tujisumbue wakati bado Kuna vitu vya kufanya na ukatengeneza pesa zaidi , hujiulizi kwanini majority ya kundustan wanakimbilia tz kuomba vibarua
Yaan wangekuwa wanaongea hivyo basi walau wamezipiga hata timu tatu za Tanzania , yaan wametembezewa kichapo sasa hivi kimyaa mitandaoni wamepoa kama hawapo vile.Maana FIFA wana uwezo mdogo wa kufikiri kama wewe. 😂😂😂
Latest Men’s World Ranking.
Hizi zimekuwa updated leo na FIFA.
View attachment 3474823
Yaan wangekuwa wanaongea hivyo basi walau wamezipiga hata timu tatu za Tanzania , yaan wametembezewa kichapo sasa hivi kimyaa mitandaoni wamepoa kama hawapo vile.Maana FIFA wana uwezo mdogo wa kufikiri kama wewe. 😂😂😂
Latest Men’s World Ranking.
Hizi zimekuwa updated leo na FIFA.
View attachment 3474823
Za 1920hizi pic za mwaka gani ??? 😂😂😂😂
nijibu bila hasira kwasababu mm nakuletea ushahidi wa leo hii
Before🤭🤭ule mkimbizi wakimkamata ni hapa atalala while he waits to be deported back to yemen🤣😂😂🙌...View attachment 3474141
Sasa ingekuwa yamefanywa Tanzania dhidi ya kampuni yoyote ya Kenya ungesikia vilio vyakehttps://www.facebook.com/
View: https://www.facebook.com/100066495943217/posts/pfbid0y86TQ52kWVekpq2Ddit5ZNxdUrsTLhXUePMuBmfKXf1npbNVHM5LpZFHEW2Z45uDl/
MY TAKE
Another billionaire from Tanzania that has chosen to go incognito!
Mvuti kule ambapo mko na mashamba za mihogo? Hii dar inachekesha sanaKaenda kuokota mpaka picha za mvuti
Haha polee yaooBefore
View attachment 3474833
After.
View attachment 3474835
View attachment 3474837
Mkiambiwa acheni kuokota okota picha hamsikii.
Sasa ndo ulipoenda kuokota baadhi ya hizo picha bishaMvuti kule ambapo mko na mashamba za mihogo? Hii dar inachekesha sana
Ila hakuna slums kama zilizoko Nairobi ambayo inalingana na kigamboni tuMvuti kule ambapo mko na mashamba za mihogo? Hii dar inachekesha sana