Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Answer the question bongolala.... Kibera leo haina 2.5 million people?
Wapi nimesema Kibera ina watu 2.5M? Hata sielewi unaniuliza nini. Kibera ina watu 700,000 lakini kuna mamilioni ya wakazi wa Nairobi wanaoishi kwenye slums tofauti na Kibera maana Kenya slums mnazo nyingi tena za kutosha. Kibera ni trailer tu πŸ˜†πŸ˜†
 

🀭🀭🀭ngojeni msikie muambiwe ni picha za 90s πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚barabara iko nyweeeeπŸ‘πŸ‘πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚best buses and transport in AfricaπŸ€­πŸ˜‚πŸ™Œ
 

'Sie hatutumii probox' nye nye nye ...πŸ€­πŸ€£πŸ™Œ
 
Ama hii ndio wanaita asali na maziwa kule Newyork city πŸ€­πŸ€£πŸ™Œ
 
Bongolala, vilaza wenzako have shared articles here mentioning Kibera's population at 2.5 million people.

Cha kushangaza ni kwamba, they are not consistent with figures. Kuna wenye wanasema 2 million, Kuna wa 2.5m, Kuna wa 1.5m na Kuna wa 700k people kama wewe hapa sasa. That begs the question; how many people are there in Kibera exactly? Do we settle on 2.5m, 2m, 1.5m or 700k? When someone wants to lie, they should at least choose one lie and stick with it throughout.

But do you want to know the truth? Kibera's population doesn't exceed 250k people.

Kwamba a place with 700k people iwe na wapiga kura 128,000 pekee? Tumia akili angalau kidogo
 
yani jamaa amepanic mpaka anaokota picha ovyo za google hata kama ni za 20 yrs πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

hizi ni fresh from market

View attachment 3474371View attachment 3474372
πŸ€£πŸ€£πŸ˜‚πŸ˜‚zeruzeru ndio hii Mafi fresh straight from newyork of Africa kama vile unavyoipenda. bon appΓ©tit, enjoy your your mealπŸ€­πŸ˜‚πŸ˜‚.
 
Picha za 90s 🀣🀣🀣🀣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…