Reborn Ktb
JF-Expert Member
- Mar 14, 2021
- 6,906
- 9,731
Saa zingine wakiandika unashangaa kama ni watoto wa chekechea ama wanaume wazima.ππLol! π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£
Kijana, you said you are 19 and you say you're a mechanical engineer? Who are you fooling?What's this supposed to mean? Are you doing exactly what I think you are doing?
Making fun of Mechanical Engineering to silence me?
Kama kweli una degree then wewe ni mzee mwenye akili za kitoto, you are not matured enough.
Huwa nakariri humu, ukiona mbongo anaponda jambo, jua tu Mkenya anafanya vyema kwa hilo jambo kumshinda. Ukweli utaujua wakati Mbongo atajitahidi kwa hilo jambo. Juzi nimeona wakisherehekea kujengwa kwa 'skyscraper' ya TRA gorofa 25. Walikuwa washaasahau ule wimbo wao gorofa sii maendeleo. πππJuu mtanzania amepata Gold medal then riadha sio mchezo ya watu maskini Tena? Naona mnaishangilia kweli kweli that one gold medalππ
Wewe nae umevamia mada. Nimesema this year naenda kuanza kusoma Bachelor Degree of Mechanical EngineeringKijana, you said you are 19 and you say you're a mechanical engineer? Who are you fooling?
This Lady is really opening people's eye. From this video it's very difficult to differentiate Zanzibar with Garissa.
There is no need of sugarcoating things here, just say that this year you are going to to be taught how to repair a bicycle.Nimesema this year naenda kuanza kusoma Bachelor Degree of Mechanical Engineering
I am a civil engineer. Graduated in 2014, doing Masters. Wewe ndio unadream kustudy engineering. Hivi unaona una haki ya kuniita dumb? Unajua naweza kuwa mwalimu wako?Wewe nae umevamia mada. Nimesema this year naenda kuanza kusoma Bachelor Degree of Mechanical Engineering
Nini kigumu kuelewa hapo? Unataka ni tranlate kwa Kiingereza ama. Are Kenyans always this dumb or it's just you and Teargas
Hadi Myemen anakasirika unaezadhani Tanzania ni kwaoπππNo wonder wanamchukia.ππ
Huyo jamaa ni fundi wa baiskeli asikusumbue.I am a civil engineer. Graduated in 2014, doing Masters. Wewe ndio unadream kustudy engineering. Hivi unaona una hakinya kuniita dumb? Unajua naweza kuwa mwalimu wako?
Mwalimu wa Civil Engineering anamfundisha vipi mwanafunzi wa Mechanical Engineering?I am a civil engineer. Graduated in 2014, doing Masters. Wewe ndio unadream kustudy engineering. Hivi unaona una hakinya kuniita dumb? Unajua naweza kuwa mwalimu wako?
anaeweza kum report huyu tour guide mkenya ambaye yuko znz afanye hvo mara moja
View: https://vm.tiktok.com/ZNdgUg7A1/
Ndio maana nimekwambia bado wewe mtoto mdogo uje tukufunze polepole ndio uondoke kwenye dreams uje kwa reality. Nimeambiwa for now wewe ni fundi baiskeli. Wacha nikufundishe kidogo mambo yalivyo chuo Kikuu.Mwalimu wa Civil Engineering anamfundisha vipi mwanafunzi wa Mechanical Engineering?
Mnajua kujifurahisha sana yaan total sum ya mahindi wa kwanza mpaka wa tatu ndo mnapewa 20milIn 5 years this league will be fire. Prize money imefika 20M, football nation imekwama kwa 32M.
View: https://x.com/husseinmoha/status/1967891021502489025?t=7eKIJPxWewGoQiaEIevTzg&s=19
Sawa. Lakini si unaelewa kuwa kusomea Engineering haimaanishi kuwa unaweza kuwa mwalimu. Ualimu sio kwa ajili ya kila mtu. Unaweza ukawa unajua vitu kichwani but the way you present ni tofauti na watu wenye taaluma yao ya ualimuNdio maana nimekwambia bado wewe mtoto mdogo uje tukufunze polepole ndio uondoke kwenye dreams uje kwa reality. Nimeambiwa for now wewe ni fundi baiskeli. Wacha nikufundishe kidogo mambo yalivyo chuo Kikuu.
Hapo chuo Kikuu kwa school if engineering Kuna shared units nyingi. Hizi units unapata mhadhiri anayefunza Civil engineering kwa mfano pia atafunza Mechanical ama electrical ama Biosystems n.k. Kwa mfano kama utabahatika kwenda chuo Kikuu kusomea Bachelor of Science in Mechanical Engineering (Note, Bachelor of Science ni tofauti na Bachelor of Engineering) uache ufundi utapatana na somo liitwalo Strength of Materials. Hilo somo wanaosomea engineering zingine kama Civil engineering pia watalifanya na utapata mhadhiri anayewafunza ni yule yule anayefunza wenye wanafanya Civil engineering.
You're welcome.
Ukiwa na Masters unakuwa na qualifications za kuwa mhadhiri.Sawa. Lakini si unaelewa kuwa kusomea Engineering haimaanishi kuwa unaweza kuwa mwalimu. Ualimu sio kwa ajili ya kila mtu. Unaweza ukawa unajua vitu kichwani but the way you present ni tofauti na watu wenye taaluma yao ya ualimu