The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,667
- 99,002
Huyu kichaa katokea wapi, since morning analeta vimiradi ambavyo hata south Sudan wanafanya.View attachment 3471275View attachment 3471276View attachment 3471277View attachment 3471278View attachment 3471279View attachment 3471280
๐๐๐Render here, render there, render everywhere. Starehe point affordable housing, 22 blocks already up and rising ๐๐...
Lugha gn anaongea huyu mkora? Amepata smartphone juzi naye kajoin jf, hata lugha yake inaonesha kabisa ni mkibera huyu, wenzie wote tumewafunza adabu na Kiswahili fasaha, bado huyu mkora, atanyooka tu mana hiki Kiswahili anachoongea kilikuwa cha Nicxie na wanusa gundi wengine humu, but nowadays wanajitahidi kwenye lugha.๐๐๐unakumbuka zile Enzi 2014 ya the 3 mtungi look alike blue towers?... hii ma kinjikitile ilikua na makelele nyingi sana " ati tunawapumulia mgongoni" shut up! ๐คฃ๐คฃ sahi wana pita kimya,kimya...
Mbona hawa jamaa ni wachafu namna hii? Inanikumbusha Tz ya 80s.najua hamuwez oneshwa kama hii ni nairobi ya singapore ๐๐๐๐
View attachment 3471331View attachment 3471332View attachment 3471333View attachment 3471334View attachment 3471335View attachment 3471336View attachment 3471337View attachment 3471338View attachment 3471339
Kwa hapa serikali yenu inajitahidi, huenda affordable housing zitapunguza slums Kenya, maana mnazo nyingi ๐๐๐
That is still more than what bongolalas live on genius.Uhalisia wa wananchi wa Singapore
View: https://x.com/moneyacademyKE/status/1966713452216676722?t=FB6clBVYGUAbB_WaJP3Q7g&s=19
๐คฃ๐๐๐Kiatu Kimoja hakikanyagi chawa, jaribu basi u upgrade wardrobe chokoraa. Alafu punguza hasira nanii๐คฃ๐๐...Maku si juzi tu mlikua mnajikusanya kwa yule pastor wa shakahola,unakashifu kitu cha miaka zaidi ya 80 iliyopita while huko ukunyan ni juzi maku ww
Sema basi uchungu imezidi nichomoe๐คฃ๐คฃ๐คฃHuyu kichaa katokea wapi, since morning analeta vimiradi ambavyo hata south Sudan wanafanya.
๐๐Wacha kazi pale warehouse wanabe airport haina pesa, kuja unichungie gate na unilishie umbwa nitakulipa I swear๐๐คฃ๐คฃ...Lugha gn anaongea huyu mkora? Amepata smartphone juzi naye kajoin jf, hata lugha yake inaonesha kabisa ni mkibera huyu, wenzie wote tumewafunza adabu na Kiswahili fasaha, bado huyu mkora, atanyooka tu mana hiki Kiswahili anachoongea kilikuwa cha Nicxie na wanusa gundi wengine humu, but nowadays wanajitahidi kwenye lugha.
Kazi safi. CC Rafiki wangu (Mkulunga) instanbulView attachment 3471210View attachment 3471211View attachment 3471212rView attachment 3471213๐Roads!... Dongo kundu bypass Mombasa๐๐
mzalendo wa ukweli ๐๐ป๐๐ป๐๐ปLeo Sijui kwann Nimemkumbuka Huyu Mzee ๐ญ๐ญ๐ญ
View: https://www.instagram.com/reel/DN_km0tDZBi/?igsh=a2ttb3QxdTI0cHBi
singapore ya africa ๐๐๐Kunyan ni wachafu aisee
Hapa ni wapi Champe?
malaysia ya africa kaka ๐๐๐๐Mbona hawa jamaa ni wachafu namna hii? Inanikumbusha Tz ya 80s.
mzalendo wa ukweli ๐๐ป๐๐ป๐๐ป