Kumbe minyamwezi yote humu hayaelewi kiingereza!!!😂😂😂Ndio maana nime-post!
Sisi tunawaandalia jihogo tu🤣🤣🤣kazi yangu mm nikupiga kichwani tu hasa kwa hawa mbwa
View: https://www.instagram.com/p/DOfusQtDO3w/?igsh=MXQ1Zm9nNW4wYWNvcA==
25 more floors to go, so in total after completion we'll be having 31 floors above ground...How many floors when completed?
Kwani unadhani tarehe 16 mbali???🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Sisi tunawaandalia jihogo tu🤣🤣🤣
Na Tabora kuna connection ya MGR kwenda MpandaMGR inapita. SGR nayo inapita
Kutoka Tabora kuna connection ya kwenda Isaka Shinyanga Vilevile kuna connection ya Kwenda Kigoma.
Well, president wenu aliomba msamaha TanzaniaIt is the other way round you fool. Huku ni vijana wadogo mtandaoni wanaoongelea Vumbistan. Huko kwenu Hadi Rais anatuongelea. Example, during mambo ya Boniface mwangi, your parliament spent a whole day discussing Kenya, your president talked about Kenya. Huku our parliament had no time for you. Our president said nothing about you.
Not sanctioned by Fifa or CafLeo tunat.omb.a timu nyingine ya kenya ili kukamilisha idadi ya timu zao kubwa zotee zimekalia gogo kutoka Tanzania.
We jamaa 😂😂😂Tatizo lako Bahati una hasira sn, eti Rais wenu haongelei Tanzania, alafu chakula cha bei nafuu atatoa wapi!!🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Viongozi wenu wote wanaongelea issue ya Tanzania kuweka sheria ya katazo la raia wa kigeni kufanya biashara za kimachinga kitu ambacho kimepelekea wakenya kuumia sanaa cz over 70% ya wakenya walio Tanzania ni machinga, 20% ni walimu na waliobaki ndiyo kidoogoo wapo kwenye vikazi vya maana. And for your information, hata hao 10% walio kwenye white collar jobs pia tunawafukuza, bakini kwenu, kwani lazima mgombanie kuja Tz!!????
Acheni kugombanaNimesema nakuheshimu. Usidhani maneno machafu upo nayo wewe tu.
Nimeamua kutuliza hivi. Nikileta fujo hapa uzi huu utafungwa.
Kama unataka kumjibu mtu mmoja mtumie PM. This is a public social media.
Acha ushamba kwikwikwi.
View attachment 3470394View attachment 3470395View attachment 3470398View attachment 3470399
😂😂😂😂Wale wa thanks for Renders, it's the weekend, dont worry, I got you covered. I present you with The Marble West!. Tayari on the 6th floor wow!👏 👏
Ebu weka hiyo video akiomba.Well, president wenu aliomba msamaha Tanzania