President of China
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 34,655
- 94,301
Nimesema nakuheshimu. Usidhani maneno machafu upo nayo wewe tu.nikiwa namjibu mwanaume mwenzangu tuliza kipapa anajibiwa mwanaume ajabu unawashwa wewe
hebu nitag sehemu nimeku reply msg yako? mm namjibu mtu mwengine unakuja kunishambulia mm ? vp ?
View attachment 3469731View attachment 3469732
Utopolo akili zao zipo kwenye makalio. Mwiko upo nyuma. Kwikwikwikwikwikwi
Hii sasa ndio super flying crib 😂😂😂
Utoto mwingi
Taifa Stars has been an orphan in Tanzanian footbal for many years due to dismal performance ambayo ime discourage mashabiki wengi for many years. Lakini nyangau kazi yake kuropoka tuu hajui mapenzi ya timu hujengwa vipi.
Barabara haina hata markings za pedestrian crossing watu wanavuka barabara kiholela tuu hii nchi haina guidelines?malaysia of africa 😂😂😂😂
wantam kasongo yeyeee
View: https://x.com/citizentvkenya/status/1966142449728078017?s=46
Aerial slum 🤣🤣🤣Hii sasa ndio super flying crib 😂😂😂
Mnyamwezi hata hii kiingereza rahisi unashindwa tu bado kuelewa?🤣🤣🤣Spain hana ubalozi hapo ukunduni au mm ndiyo sijaelewa
Ndio maana nime-post!Spain hana ubalozi hapo ukunduni au mm ndiyo sijaelewa
That's Kasarani estate bongolala. A million times better than your sprawling uswazi hovelsAloooo, alafu hilo vundo kule pembeni sasa 🤣🤣🤣🤣🤣View attachment 3469593
Full house Moja kwa mwaka ambayo hata sio sanctioned na FIFA Wala CAF ndio imekupa matumaini 😂😂😂😂Wakati tulikuwa tunawambia hiyo timu ya taifa tunajua madhaifu yake yapo kwa walimu hatuwamimi na ndiyo maana watu hawakuwa hata na habari nayo ilibidi wawe wanatumia nguvu kubwa kushawishi watu hebu ona Simba hakunanguvu iliyotumika timu ikifanya vizuri mashabiki utawapata tu wala haitaji nguvu
Ila hakuna timu kundustan ambayo ishawahi kusanya gate fee za kuzidi hata 8mil ksh wakati tzs the highest ilikuwa 23mil ksh.Full house Moja kwa mwaka ambayo hata sio sanctioned na FIFA Wala CAF ndio imekupa matumaini 😂😂😂😂