Reborn Ktb
JF-Expert Member
- Mar 14, 2021
- 6,906
- 9,731
Watchman angesema Kama Burundi mwanangu πππ₯π₯
Kuna Kenge kaniquote kuhusu AFCON amesahau hawana win hata Moja, wanaingia na wanatoka maskini hata FIFA ranking haiwapandishi πHawajai shinda game moja hata AFCON despite kuqualify mara nyingi. Kazi ya hua kusindikizana tu. π€£ π€£ π€£ Sasa World Cup si wnaweza najisiwa.
MtombweFrom all maandamano, vurugu, changing KANU, killing each other, free media press.
WHAT HAVE YOU CHANGED???
What AGENDA have your fought for??
You always fight for the interests of FEW PEOPLE not YOU.
MFs
Leo nimeamini hatuna makocha kweli ila wachezaji tunao
Hata wachezaji hamna.Leo nimeamini hatuna makocha kweli ila wachezaji tunao
ChimanoMtombwe
Wee nawe.π€£π€£π€£π€£Hata wachezaji hamna.
Umeona, Overrated mediocres playersHata wachezaji hamna.
Cc: MkwanzaniaHii imekaa njema. Comments za wadau hapa na kifano ya kupaka rangi imewafikia wahudika
View: https://www.instagram.com/p/DOWn0w1DZNO/
Na kwa jinsi tff yalivyo mang'ombe yatayang'ang'ania hayo makocha mpk Afcon tukatie aibu, just because of 10%Leo nimeamini hatuna makocha kweli ila wachezaji tunao
Cowards kivipi, wakati watu hawaogopi kujieleza hapa mpaka JF sasa imefungiwa, kama mashada.com ilivyozuiliwa kipindi kile?Thatβs because youβre cowards. You donβt fight for your rights, and thatβs why you never criticize your country. Most of you genuinely believe you live in a land of milk and honey, when in reality you live in a place where everyone is too afraid to expose the rot withinβunlike in Kenya. Upuzi kama huu would never fly in Kenya.
Lkn tumewazidi kila kitu when it comes to football rankings, all national teams (men, women, & youth) as well as club level.Hata wachezaji hamna.
Hahahahahaaaaa, kumbe ndiyo mana mnuka mavi na wanusa gundi wenzie huwa hawaweki picha za ndani za hivyo vidaraja, Africa bhn π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£
Naona hapa Mr. ***** reborn umefanya kama unajikuna mwanangu πππΉπΏπΉπΏπ₯π₯π₯Watchman angesema Kama Burundi mwanangu πππ₯π₯
Na nyinyi mnadhani mnaenda wapi kama sio huko huko kutolewa? Utajinyea kitandani bure, wake up from that dream
Hata usemeje na kuchanganya kizungu koko haisaidii wewe nyang'au; kutolewa mmeshatolewa. Imeisha hiyoπNa nyinyi mnadhani mnaenda wapi kama sio huko huko kutolewa? Utajinyea kitandani bure, wake up from that dream
Vere yusles.Umeona, Overrated mediocres players
Sisi hatupost tu mtandaoni, Hadi kwa street tunaenda. Nyie endeleeni kujificha mtandaoni.Cowards kivipi, wakati watu wahaogopi kujieleza hapa mpaka JF sasa imefungiwa, kama mashada.com ilivyozuiliwa kipindi kile?
Wewe uko kwenye bubble Yako, huelewi kinachowndelea Tanzania, Kuna ufisadi mpaka wa watu wakubwa jeshini unaongeleaa.
Mtoto wa Samia na dili zake chafu watu wanapost, Rostam na wizi wake watu wanapost mitandaoni. Nyinyi wakenya mnaweza kupost ufisadi wa Uhuru na familia yake?