You haven't answered the question watchmanNo difference
Sawa sawa. Yule Morocco sio kocha!! Tulitakiwa kuwapiga mapema sana wale jamaa jana!!Timu zetu za taifa hazina kocha.
Kocha wao kawachana ukweli πππ€£π€£π€£π€£Huu utulivu umezaminiwa na The Gambia. πππ
Alafu huyu kocha asiwe anawaweka kambini hawa wachezaji, anawaharibu kimbinu, yeye angekuwa anaita timu wakacheze mechi basi.nilisema hapa tumekalia upemba tu, kocha akishakua mpemba basi kwetu tayari ni kochaπππππ
yani kocha hata kupanga kikosi tu nishida achilia kua na mbinu
Nchi ya ufalamanga sana!! Inclusivity ni zero! Mtu wa Turkana acheze soka wakati hana mlo?
Sasa hapo wanailalamikia serikali au wanapaswa kuilalamikia CCM, kama walienda hospital na hawakupewa huduma wailalamikie serikali ila kama walihitaji msaada wa kipesa wanapaswa kuilalamikia CCM.tanzania nchi yangu ππ»ππ»ππ»ππ»
what is this????
View: https://www.instagram.com/reel/DOLNxURjPBO/?igsh=MThoZGk0ODAxbWdyNg==
View: https://www.instagram.com/reel/DOJLzbwDOBB/?igsh=MWU0dXE4eHpjbXQ5bw==
Question la kunyombwa bao 3 au kweshon choni? π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£You haven't answered the question watchman