Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Harmony residence Upanga Dasilinga.
IMG_1143.jpeg
 
pamoja na tanzania kua ni kubwa mara mbili ya kenya ajabu hawa ndio watu tunashindana nao ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

View: https://x.com/kenyatalkforum/status/1934882661903790137?s=46

pamoja na tanzania kua ni kubwa mara mbili ya kenya ajabu hawa ndio watu tunashindana nao ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

View: https://x.com/kenyatalkforum/status/1934882661903790137?s=46

hya kenyatta avenue hio CBD nairobi๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

View: https://x.com/captainochenge/status/1884292887959273731?s=46

๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ ukisikiliza hizi nguruwe unaeza kudhani ni watu wana ishi japan

View: https://x.com/standardkenya/status/1961024228427280501?s=46

nairobae Ile sindano uliwapa hawa jamaa ilikuwa moto sana, mpaka sahii wanatafuta jibu ๐Ÿ˜‚
 
nairobae Ile sindano uliwapa hawa jamaa ilikuwa moto sana, mpaka sahii wanatafuta jibu ๐Ÿ˜‚
tunatafuta jibu gani ? miko yote tanzania imeunganishwa na lami kwa zaidi ya asilimia 90 na bado hapo tanzania ni kubwa mara mbili ya kenya alaf unataka tuzungumze nn ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

mikoa yote tuna modern bus terminal na zingine zinajengwa hapo bado unataka tushindane nn
 
I see 99% 2000s vehicles, wakunya wa jf wanasema wanaimport only at least 10 years old cars, mbona naona jalopies tupu with 28 years old ๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€
It's not 10 years, it is 8 years maximum. alafu kwani ukiimport 8 years itabaki 8 years milele? Tumia akili.
 
Back
Top Bottom