babayao255
JF-Expert Member
- Apr 4, 2019
- 13,293
- 35,687
Kuna msemo unasema "Huwezi tatua tatizo kwa kulazimisha kwa jirani kuwe na tatizo kama lako"Na hatutafanana hata siku moja hata ulazimishe vipi hatuna slum kapambaneni na hali yenu
Hawa kondoo wanalazimisha Tanzania iwe na slums. 😂😂😂