Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Venus Star, hivi Ummy ilikuwaje wakamkata, japo kuwa aliongoza kwenye kura za maoni?
Maza ana siasa za visasi na watu wote walio ingia kwenye 18 zake kawalima ikiwamo Gwajima aliyemtaka akatwe mbele ya mkutano mkuu. Kwa data nilizo nazo, Ummy alisikika akisema Maza hatoshi na alikuwa akimback January ndio wakatoa yeye uwaziri, na wamekula tena ubunge.
 
He has visited Rwanda, Ethiopia, Uganda and even Somalia before, sasa ju amekuja Kenya inawauma. Enyewe ndio kwa maana unakanyaga benches na viatu chafu. 🤣 🤣


Here are more events to add to your pain.









View: https://x.com/dube_mthoko/status/1723433278403682556Maku wivu upi tena,ww kwa ushamba wako ndio umeleta habari za rais wa fifa kuwepo ukidhania labda hajawahi kufika TZ,mimi nilichokifanya ni kukuonesha tu kama alishawahi kufika TZ,na alienda hadi kijiji cha michezo kigamboni,acha ushamba maku,infantino anajua hadi makolo walichezea goli 5 kwa Yanga 😂
 
Afrika ni bara la giza,visasi vipo kwa kila anaeweza kulipa kisasi kwa mbaya wake,kwa upande huo maza na magu wapo kundi 1
 
You cannot be against the head of state ukabaki salama. Yupo na bahati kakutana na Rais mwenye huruma.

Uwezi ukahujumu state while you are working under that state

Rais siyo mtu mdogo. Elewa hilo
 
Mzee acha kututusi waafrika. Kama afrika imekushinda ondoka.
Ukweli ndio huo,ubinafsi na giza,kama tusingekua na vitu hivyo hapa duniani kusingekua na bara linalotufikia kimaendeleo,kwenye hili jukwaa tunaongelea maendelo ya nchi zetu,but si TZ wala kunyaland inayofikia kimiundo mbinu,sekta ya afya n.k moldova,nchi ambayo ni maskini zaidi europe
 
You cannot be against the head of state ukabaki salama. Yupo na bahati kakutana na Rais mwenye huruma.

Uwezi ukahujumu state while you are working under that state

Rais siyo mtu mdogo. Elewa hilo
I never said what she did was sensible.
Nilikuwa natoa ufafanuzi juu ya swali la Chamoto akitaka kujua nini Oddo alifanya kukatwa.
 
Ni inacurities tu.
 
Afrika ni bara la giza,visasi vipo kwa kila anaeweza kulipa kisasi kwa mbaya wake,kwa upande huo maza na magu wapo kundi 1
Basi hata viwe na maana.

Hivi vijana kama yule jamaa wa Songwe akiyechoma picha, Soka, Mdude wana madhara gani kwa taifa??

Tena yule jamaa wa picha yawezekana hata dishi lake halikuwa sawa.
 
Wewe ni kibaraka wa wazungu. Damu zilizomwagwa za dugu zetu kupamabana dhidi ya unyonyaji wa kikoloni leo hii unawatukana waafrika. Huenda wewe siyo mwafrika.

Umeniudhi sana kwa kutuna waafrika.
 
I never said what she did was sensible.
Nilikuwa natoa ufafanuzi juu ya swali la Chamoto akitaka kujua nini Oddo alifanya kukatwa.
Hapo sawa. Kumbuka Ummy alikuwa waziri aliyewekwa na huyo aliyekuwa anamuhujumu.

Angemshikia bango leo ummy angekuwa mfungwa kwa uhaini. Sema alisamehewa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…