Shida yetu pia waTZ inaonekana hatujui chochote.Hii falsafa ya trickle down economics ambayo mtandao wameikumbatia ni mbovu sana kwa Tanzania. Hii ndiyo falsafa iliyoua middle class Marekani. Hii homelessness wa wamarekani ambayo wengi hapa mnapenda kuicheka, chimbuko lake ni trickle down economy.
Product ya visionary leader hiyo, sasa ndugu yangu Venus Star anasema mambo ya Magu tuachane nayo, wakati wahuni ndo kwanza wameota mapembe, aisee! Tutabanana mpaka kieleweke.Dah asee I remember sakata letu la sukari walileta mdogo, but as Country Tanzania tumeendelea kua nchi inayodili na matatizo yanayotishia usalama kimkakati zaidi.
Tulikua na Upungufu wa Tani 100k - 200k kwa kua uzalishaji wa Ndani ulikua 300k mahitaji 400k
Sakata la Sukari enzi za Magufuli na utawala wa Samia hatua zilizochukuliwa.
1. Kupitia vibali vya uagizaji na kuipatia NFRA inunue ihidadhi na kugawa ya export.
2. Kumshawishi Bhakresa kujenga Bagamoyo Sugar kwa kumpatia ardhk kubwa bure na msaada ahitajio.
View: https://youtu.be/hdlhRwZwEw8?si=pIT2_BaWiT122OcL
View attachment 3458489
3. Ujenzi kiwanda Cha Mkulanzi Sugar
View: https://www.instagram.com/p/DNFlAviMtSn/?igsh=Z3MxeHNjb3Fhajhv
View: https://youtu.be/3nxs09FzvKU?si=duA6ux9dxr3T-cMI
Vimekamilika na Samia still kuna expansions za Viwanda existing
Kilombero to 270k Tones
View: https://youtu.be/d0WLj5Z2jCo?si=UjhFrg3FOjRlpgUr
Upanuzi Wa Kagera Sugar
Upanuzi wa Mtibwa Sugar etc
Kuna hii TARI ilitafiti mbegu mpya za miwa na kuzigawa.
Imagine one issue tulideal nayo strategically kimya kimya
Kutoka 320k Tones 2017
Mpaka 660k dah we about to hit Self Sufficiency zero Import
Kumbuka Sasa Demand haiangalii mahitaji tu bali inaangalia na RESERVE Demand baada ya ile sheria ya NFRA kuitaka iwe na RESERVE kama more than 100k Tones.
Kuna ******* wa North kazi kuimport kila kitu na kuturingia mzigo wa Tonnes, wakati sisi tupo tunawipe import with domestic production.
TANZANIA IS SOMETHING WANA in the surface tunaweza onekana siasa nyingi ila once issue ikitishia any security ya nchi wiping is only solution.
Bado ana subscribers wachache, hana jeuri ya kupoteza wakenya, si unajuwa walivyo na kikorosho?Bertin hapendi kuwakwaza, anawapamba lakini wanamchukia.
Hawa watu ni shida sana.
Na kumbuka anajitahidi sana ku-edit video zao na huko Slums hajaenda ili wafurahi lakini wanaona hawafanyii FAIR😅😅😅
Lia ukimaliza kunya boga.Hii ni port ama slum!!!
Hii nchi yenu kila kitu ni disorder! Filthy.
Tuonyeshe lamu port ikipokea punda. 🤣🤣🤣Wapi skyline hapo?
Mkundustan hajawahi kuwa na akili hata 2, Rwanda ipo mbali na Dar kwa kilometers zaidi ya 1500 inatumia ports zetu kwa Asilimia 90 eti mikoa ya kaskazini iliopo umbali wa kilometers 600 ndio zitumie Mombasa 😁😁😁akikujibu tu nitag plz 😂😂😂😂
Inasikitisha sana wakati yeye ndio anafanya kila siku wakose raha.Product ya visionary leader hiyo, sasa ndugu yangu Venus Star anasema mambo ya Magu tuachane nayo, wakati wahuni ndo wameota mapembe, aisee! Tutabanana mpaka kieleweke.
Hao unatakiwa kuwahurumia, sometimes tuwe tunakubali vidata vyao tu maana it gives them relief.Mkundustan hajawahi kuwa na akili hata 2, Rwanda ipo mbali na Dar kwa kilometers zaidi ya 1500 inatumia ports zetu kwa Asilimia 90 eti mikoa ya kaskazini iliopo umbali wa kilometers 600 ndio zitumie Mombasa 😁😁😁
Lamu Port is above your pay grade Mr. Chimpanzee.Tuonyeshe lamu port ikipokea punda. 🤣🤣🤣
Nilidhani ni mtwara port. 🤣🤣🤣Lamu Port is above your pay grade Mr. Chimpanzee.
View attachment 3458589View attachment 3458590View attachment 3458591
Kuna watu wanakuwa na akili kama za "baadhi" ya wanawake, ile tabia ya kudhani vitu vinatokea tuu kimiujiza. Usivione vya elea bana.Inasikitisha sana wakati yeye ndio anafanya kila siku wakose raha.
Maana unakuta kuna eneo unajaribu kusingizia unakuta kisingizio chako hakina mshiko, kuna mwamba alidili hapo mpaka pakatulia miaka 6.
Hatari sana, Kingine it's funnyKuna watu wanakuwa na akili kama za "baadhi" ya wanawake, ile tabia ya kudhani vitu vinatokea tuu kimiujiza. Usivione vya elea bana.
Kama hiyo ishu ya sukari, Bakhresa alipopewa shamba, alikataa kwa kumwambia Magu, sisi siyo wakulima, ni wafanya biashara. Ilibidi Magu achukue risk kubwa ya kumuwezasha, ili kumshawishi Bakhresa aingie kwenye biashara hiyo, kuiokoa nchi na wahuni waliokuwa wanaleta sukari mbovu.
Kwani Mtwara huwa iko na gantry cranes?Nilidhani ni mtwara port. 🤣🤣🤣
Kelele siyo UADUI.Hii dunia imejaa mijitu ya ovyo na minafiki sana ndio maana it's better ukazie inshu zako unazoona ni sahihi hata kama wengine hawaoni. Sababu unaweza kuta wao wanaendeshwa na hisia zaidi.
JNHPP kipindi tunaanza kelele ilikua everywhere wazungu, na wajinga wa nchi, Mazingira mazingira, mara UNESCO Site, mara mvua haitanyesha. Mara eti tuendelee na Gas wakati unajua kwa Gas wanasubiri LNG deal tuanze inunua kwao usenge sana.
Ila Mzee alikaza kwa sababu aliamini, Sina baya na Samia aliendeleza hakusimama I give her credit.
Now tuna Bwawa hao mburukenge ndio wanatuletea kelele these days kuwa GOOD JOB TANZANIA nye nye nye.
Hao wajinga wa ndani so shameless now wanachaji simu umeme wa uhakika kutukana 24hrs.
Well I gonna say ukikaa ufikirie vizuri SAMIA hana shida anapiga kazi maana si shaka kuna nchi ya Jirani (Kunyans) ni mfano tosha kuna Miradi ya Kibaki uhuru alishindwa ya Uhuru na Kibaki Ruto imemshinda na ni very strategic.
Ila Samia ameimaliza yote nimpe kongole, tatizo ni approach waliyochagua kumvalidate imekaa kinafiki noisy na uchawa so it backfires kila siku as long as shida ikitokea ikawa kero huku kuna mpuuzi kasema "MAMA HATUMDAI" automatically Mama anaonekana hayupo serious.
Wachange approach wawe smart punguza mabango na uchawa, acha kazi ziongee huenda hata akawa Raisi mwingine wa 3 best ever.
Mimi naona a long as Mama hagusi hizo Sheria 3 na dili zinaingia aendelee tu tutamwelewa Mbeleni.
Maana hata Magufuli kuna wapuuzi hawakumuelewa mpaka baadae ndio walimwelewa now tunaongea lugha moja
Kuna msemo wa kizungu unasema: don't be a pawn in someone else's gamebuffalo44 tutafika tuu, hata kama tutakuwa tumechoka.
Nchi hii tukipata kiongozi mzalendo, atakaye fyeka mtandao wote , (by draining the swamp) haraka sana, hasa katika hiki kipindi ambapo EU wapo dhaufu.
Unaamini kama kuna CCM mtandao?Kuna msemo wa kizungu unasema: don't be a pawn in someone else's game