Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kenya inashikwa na Wakikuyu, na sasa hivi wanafuata Wasomali, na wanasiasa wachache wa makabila mengine.

Kenya kuna systems mbili tofauti, za wanasiasa na wahuni na wakenya wa kawaida.

Kuna majamaa mahuni yanayoiba madini Kongo, mafuta ya magendo Sudan, wote wanatakatisha pesa Kenya.
 
so ww kwa akili yako unategemea player wa kenya acheze team gani hapo kenya ikiwa mishahara tu hawalipwi 😂😂😂
Kenya top talents wanaenda Europe Spain France Belgium etc
Hawa amateur ndío tunawasukuma Africa clubs standard za chan sasa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…