Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mbudya Island - Dar es salaam​


1756277255052.png


1756277268250.png


1756277287572.png
 
😂😂😂😂

Huoni huyo mwingine kakimbilia Kigoma now huku akijichoresha imagine Kigoma 1000+kmh from Dar ndio anaenda kutafuta vitu vya kuonesha Nairobi ni nzuri.

While anaacha Northern Kenya mtu anaitwa TAJIRI anakula mzoga na anategemea msaada wa chakula, usalama zero.

Imagine

Yaani ni vichekesho tupu, mtu anakunaga na msaada wa Daftari wa kupewa primary.

Huku yeye ana msaada wa kuzuia kunya vichakani 😂
Huyo jamaa wameshaanza kumuita WORIA aka Somali

Screenshot_20250827_100059_Facebook.jpg
 

Sisi tulio kwenye hiyo industry huwa tunacheka tukuona hawa wanuka mavi wakishangilia profit ya KQ, ndege ina ma delays na ma cancellation kila siku, na sio tu dar mpk nairobi ni mwendo huo huo, inawezaje ku record profit? Hata hizo loss wanazosema ni ndogo, hakuna abiria anaitegemea kq kwa safari, unaweza ukaondoka leo kwa kq kuelekea SA tu apo lkn ukafika keshokutwa, ndege ya kifala sn kq. Ukiona abiria anapanda kq ujue ni kwasababu ya cheap price.
 
Where is it basi?

Kwahiyo na mimi nikiandika hapa thread niweke majengo makali eti yatajengwa Tanzania ni fact?

Acha upuuzi yapo hospital gani sasa?

Any I am waiting gari ya serikali ya 40yrs
Hivi unataka nikubebe nikupeleke Mwanza nikuonyeshe ndio hii ndio ukubali ama unatakaje maanake at this point you sound like an irredeemable fool.
 
Embu tuoneshe side walks hapa. people are literally walking on the road.

View: https://youtu.be/I507n39mQbo?si=OqGUVFbLAo0NVLOJ

That is an underpass you idiot, the sidewalk is on the upper side. Those people are jaywalking. The amount of foolishness in you people keeps hitting new lows. Hiyo video imechukuliwa hapo kwa blue arrow. The sidewalk iko pale kwa red arrows. Mmepata sidewalks juzi mnaona ni miujiza. kha! Mnachosha.
1.png
 
That is an underpass you idiot, the sidealk is on the upper side. Those people are jaywalking. The amount of foolishness in you people keeps hitting new lows. Hiyo video imechukuliwa hapo kwa blue arrow. The sidewalk iko pale kwa red arrows. Mmepata sidewalks juzi mnaona ni miujiza. kha! Mnachosha.
View attachment 3454605
Nilikudharau sana baada ya kukuona huko Nairaland unasajili Accounts zaidi ya 100 ili uonekane kuwa ni watu wengi. Hapa umesajili accounts zaidi ya 20. Ninayo proof. Na zote ni active kwenye jukwaa hili
 
Back
Top Bottom