babayao255
JF-Expert Member
- Apr 4, 2019
- 13,305
- 35,733
Umetembea mji Gani Kenya ukapata information ya kusema haya?Nyie mnatuweza kwa side walks? 🤣🤣🤣 idadi ya km za side walks zilizopo Dar zinatoshana kuweka in 3 three different cities hapo kunyarenda.. no tanzanian will brag of having them here. 🤣🤣🤣 nyie mkipata side walks kidogo taifa zima linafika kushangaa. Wewe ukiwa mmoja wapo pumbavu zako. 🤣🤣🤣
Umetembea mji Gani Kenya ukapata information ya kusema haya?
Ukipika sana baadae unaumbuka
🤣🤣🌽
View: https://x.com/moneyacademyKE/status/1960537763691778070?t=h909LW268j-bYOqk8yanFA&s=19
Kutoka 500mil mpaka 12 bil
View: https://x.com/moneyacademyKE/status/1960342186379100416?t=kdLUsOx5_sQRYm3MQ7iZ0A&s=19
Where is it basi?Bado unapinga na kitu kilifunguliwa thread na Watanzania wenzako? instanbul mbona watanzania mnakuwanga wabishi kwa vitu vinavyoonekana wazi? 🤣 🤣 🤣
![]()
Hizi hapa ambulance bajaj made in Mwanza, Tanzania
What is the meaning of Ambulance? :director::director::director::director:www.jamiiforums.com
Nilidhani hizi baiskeli za mbao ziko Congo tu, kumbe bongoslum pia ziko. 🤣 🤣 🤣
View: https://x.com/KigomaTanzania/status/1834921167615861247
Imagine jamaa kafika Kigoma na atakwambia ni Dar huku atatafuta picha ya Nairobi kuonesha ni nzuri kuliko Kigoma.Jamaa wanaumizwa sana na maendeleo ya TZ,ndio wapo tayari kuokota vipicha vya sehemu nyingine huko ili waichafue tu nchi yetu
😂😂😂😂Nioneshe kilomita moja ya reli. Muda unakimbia sana. Kuna kenge walikuwa hawaamini vitu kama hivyo ndio vitakuwa juu ya reli yetu
Kigoma mbona ipo poa!?😂😂😂😂
Huoni huyo mwingine kakimbilia Kigoma now huku akijichoresha imagine Kigoma 1000+kmh from Dar ndio anaenda kutafuta vitu vya kuonesha Nairobi ni nzuri.
While anaacha Northern Kenya mtu anaitwa TAJIRI anakula mzoga na anategemea msaada wa chakula, usalama zero.
Imagine
Yaani ni vichekesho tupu, mtu anakunaga na msaada wa Daftari wa kupewa primary.
Huku yeye ana msaada wa kuzuia kunya vichakani 😂
Ila wewe fala hizo basi za Chaka kwa chaka si ndizo ziko hadi CBD Yenu au umeziona hizo ukazuzuka kua tupo kama nyie? What is this? Jitu lipo kuropoka as if lipo nchi ya maana.🤣 🤣 🤣 wueeeeeehhh
![]()