Mgagaa na Upwa
JF-Expert Member
- Sep 30, 2013
- 15,946
- 34,994
Yan hii interchange inafit kabisa pale jangwani,juu huko gari za kutokea kkoo na magomeni,hizo diversion ndio za kuingilia na kutokea salendar,kinondoni na kigogoJangwani area ilikuwa moja ya perfect area ya kupunguza foleni Dar es Salaam.
Interchange moja ingeondoa foleni Fire, Magomeni, ilala, salendar, kariakoo na Karume
Basi tu hatuna mtu mwenye maamuzi magumu
Kitu kama hiki kingewezakana vzr tu jangwani.
Na nguzo ni kuzirefusha tu kama walivyofanya Magufuli au wami
View attachment 3454004