Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Do you have proof the Mwanza ones did not operate?
Again, Heavy vehicles are highly regulated on lamu Island, that's why they chose a tuktuk. What's your excuse?
 
Wacha upumbavu wakati Moi anazindua hiyo BJ50 under Nyayo cars ulikuwa hujazaliwa wewe. It was a national invention and pride then na sio individual invention as you put it.
Kuna wakati nilisema humu trying to impact knowledge in you is like casting pearls before swine. Hayo maneno in bold ni dhibitisho. Wacha nikuache. 🤣 🤣
cc mwaiofhawaii
 
Bro, you couldn't get this kind of amateur photograph quality in 2005. All in all, my point was some of the things you keep repeating here about Kenya are literally present in your country but you're too obsessed with Kenya to notice.
TZ has never used such ambulances.

We once bought, back in 2005, but it wasn't viable, complete failure
 
Hiyo ya lamu ni 2025? Una uhakika?
Na kama hizo za Mwanza zilizinduliwa 2014 kuna uhakika gani hazifanyi kazi in 2025 considering hapo kwenu mna magari ya over 40 years yanapiga kazi barabarani?
 
Afadhali sisi wakenya tunakubali hizo Tuktuk ambulance zinatumika kwa narrow streets of Lamu and Mombasa old town. Bongolala munatucheka na mkonazo pia. Bongolalas are the biggest hypocrites in the world. 🤣 🤣 🤣



Hadi wakona bicycle ambulance. 🤣🤣🤣




Bongolalas hadi wakona fire engine za Tuktuk.

 
Njombe Tanzania - Tanzania pekee unaweza pata picha kama hii

View attachment 3452360

View attachment 3452361
Ati TZ pekee ?..🤣🤣🤣… that’s tea . Google Kericho or Limuru ( don’t forget Kenya’s number 1 in the world of black tea). And with better roads too sio Matope ka nyinyi . Hereby is Timau near my hometown, Nanyuki . And with tarmac road ..
 
Kericho kwa maeneo ya Tanzania ni sisimizi. Kuna mashamba ya chai hapa Tanzania, Iringa, Njombe, Mbinga, Kagera, Arusha, Kilimanjaro nk. Wewe unaongelea Kericho Kwikwikwikwi
 
Nimeuliza swali, hiyo camera quality ni ya 2005? Mnapenda uongo uongo hata vitu vilivyo wazi. Wenzako wanasema 2014 wee umekwamilia 2005.
Check, hizi mada za mwaka gani?




 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…