Mnashangaa Bajaji kuwa Ambulance? hii jee? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mnashangaa Bajaji kuwa Ambulance? hii jee?

Discussion in 'Jamii Photos' started by zomba, Sep 26, 2012.

 1. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #1
  Sep 26, 2012
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Nawasikitikia Watanzania wanapoletewa suluhisho la ubunifu, rahisi na la haraka wanapoliponda. Tazamaeni wenzenu, hivyo hivyo vibajaji wanavifanya nyumba za kuishi:

  [​IMG]

  Semeni.
   
 2. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #2
  Sep 26, 2012
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,507
  Likes Received: 2,248
  Trophy Points: 280
  Usije ukalinganisha mazingira tunayoishi na mazingira hayo hapo. Huku kwetu barabara tena za vijijini, hiyo bajaj sijui inambebea wapi huyo mama mwenye uchungu. Sijaongelea vumbi atakalooga!
  Kuishi kwenye bajaj hiyo inabidi ukubaliane na mbu na vibaka! Manake hata bustani za manispaa hamna ulinzi! Hilo joto la dsm sasa, inabidi ufunge ka-pangaboi sijui?
   
 3. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #3
  Sep 26, 2012
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,507
  Likes Received: 2,248
  Trophy Points: 280
  Nacheka hapa, manake waswahili tunavyojua kuwa na makorokoro kama gereji bubu, lol! Sijui tunaeneaje! Mtu mmoja, nguo nyiingi zingine hata hazimtoshi ila anazidakisha vumbi tu!
   
 4. nyabhingi

  nyabhingi JF-Expert Member

  #4
  Sep 26, 2012
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 10,896
  Likes Received: 5,357
  Trophy Points: 280
  i can see you trying to justify jk's bajaj stupidity from afar but the fella above has put you in your place
   
 5. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #5
  Sep 26, 2012
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Itaposhindwa bajaji ujuwe hata gari kuna kazi.

  Something is better than nothing.

  [​IMG]
   
 6. e

  emgitty06 Senior Member

  #6
  Sep 26, 2012
  Joined: Aug 2, 2012
  Messages: 143
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Upuuzi mtupu. Haya mleta mada, niambie mgonjwa mahututi na dereva wanaeneaje humo?
   
 7. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #7
  Sep 26, 2012
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  We are not the first nor the only:

  [h=3]Emergency tricycle[/h]
  I saw these in an event on SM north Edsa Cyberzone and I was Amazed!!! I am interested in having my own Emergency Vehicle sometime...
  [​IMG] [​IMG][​IMG]  [​IMG]

  ...this kind of emergency tricycle best fits in a small/narrow roads especially here in the Philippines.
   
 8. mwaJ

  mwaJ Tanzanite Member

  #8
  Sep 26, 2012
  Joined: Sep 27, 2007
  Messages: 4,076
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Si na wewe ununue uishi humo? Wala hakuna anayekuzuia.
   
 9. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #9
  Sep 26, 2012
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,507
  Likes Received: 2,248
  Trophy Points: 280
  We need the better
  We deserve better
  We want the better
  We should get better
  We will not settle for less!
  Kuna tangazo la twaweza nadhani. Wanakijiji wanasema 'naskia hilo gari ni kama madarasa 10, yaani mtu mmoja anatembea na madarasa kumi jamani!'
  Kama something is better than nothing, mbona rais asitembelee bajaj basi? Lugha za kutupaka mafuta na mgongo wa chupa hazitufai tena wangu! Hizi zinawafaa huko huko nchi maskini, sie kwetu matajiri baba!
   
 10. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #10
  Sep 26, 2012
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Unaandikia mate na wino upo:

  [​IMG]
   
 11. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #11
  Sep 26, 2012
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Huo ni ubishi wa kitoto. Practicality, kuwa mkweli wa nafasi yako kwanza, kabla ya Kikwete kuja na vibajaji kulikuwa kuna kipi?
   
 12. Mtoboasiri

  Mtoboasiri JF-Expert Member

  #12
  Sep 26, 2012
  Joined: Aug 6, 2009
  Messages: 5,106
  Likes Received: 94
  Trophy Points: 0
  Huko kuna barabara zinazofaa hizo bajaj. Utambebaje mgonjwa vijijini na bajaj (na kumbuka zoba mwenzio alituambia anazileta zitumike hasa vijijini)?
   
 13. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #13
  Sep 26, 2012
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Hta kwa biashara zingine zinafaa:

  [​IMG]
   
 14. Daudi Mchambuzi

  Daudi Mchambuzi JF-Expert Member

  #14
  Sep 26, 2012
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 31,778
  Likes Received: 36,776
  Trophy Points: 280
  Hivi zomba una miaka mingapi labda kwa mfano???

  Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
   
 15. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #15
  Sep 26, 2012
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,507
  Likes Received: 2,248
  Trophy Points: 280
  Ofcoz mie mtoto, umri wako mrefu sana. Mbona hamtupi picha za feedback walau mmefikia wapi na matumizi bora? Kuna moja niliikuta kijijini, wameipaki imeotea nyasi. Nikauliza na kuipiga picha, wanasema wameishindwa! Lakini kama kawaida yetu, tunajenga madaraja yasipotumika haijalishi as long as tumejenga! Hata shule tumejenga zisizo na walimu lakini si mile stone bwana?
  Mpe hongera handsome wetu.
   
 16. Mtoboasiri

  Mtoboasiri JF-Expert Member

  #16
  Sep 26, 2012
  Joined: Aug 6, 2009
  Messages: 5,106
  Likes Received: 94
  Trophy Points: 0
  He seems to be at list 40 years old (physically) with a mental age of a minor. And that is a complement, if I am to be honest!
   
 17. nyabhingi

  nyabhingi JF-Expert Member

  #17
  Sep 26, 2012
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 10,896
  Likes Received: 5,357
  Trophy Points: 280
  on tarmac roads and not dusty potholed roads of ours in rural areas
   
 18. Mtoboasiri

  Mtoboasiri JF-Expert Member

  #18
  Sep 26, 2012
  Joined: Aug 6, 2009
  Messages: 5,106
  Likes Received: 94
  Trophy Points: 0
  Kulikuwa na fedha (Mkapa aliacha akiba ya kutosheleza mahitaji ya taifa kwa miezi tisa) ambazo zingeweza kununua ambulance zinazofaa mazingira ya nchi yetu. Lakini akaamua kuzitumbua yeye na genge lake.
   
 19. tembeleh2

  tembeleh2 JF-Expert Member

  #19
  Sep 26, 2012
  Joined: Jul 27, 2010
  Messages: 768
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Mganga atakaekuwa anamhudumia mgonjwa atakaa wali? au atamkalia mgonjwa?
   
 20. Bigirita

  Bigirita JF-Expert Member

  #20
  Sep 26, 2012
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 13,976
  Likes Received: 688
  Trophy Points: 280
  Kuna tofauti kubwa sana kati ya picha na kinachotokea.
  Mimi kamamdau wa Afya na Elimu......nimepita kwenye hospitali za wilaya kama 10 ndani ya mwezi uliopita.
  Hizi takataka zipo zimehifadhiwa kama zilivyopokelewa. ... Mpyaaa!!

  Kuna wale walioamua kufungua huo uchafu hapo pembeni na kujipatia usafiri wa pikipiki.

  Issues ni mbili:
  1) nani aziendeshe? muuguzi au dereva?
  2) Zitapita wapi? hiyo takataka inaweza kumtoa mtu Kifura kwenda Kibondo hospital?, Inaweza kumtoa mama mjamzito Muyama kwenda Kasulu DH? atafika? akifika itakuwa baada ya masaa mangapi kama sio 10 Hrs.

   
Loading...