Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mbona unalia tena. Wewe nimekuwekea video ya aerial view ya Dar, wewe unaweweseka. Kama huna si useme huna tu, mbona simple sana.
 
Wonderful Nairobi! The city with a character.
 
Kuna uwezekano,ili kutetea hii kauli unatakiwa utuletee sababu ya hilo jambo kutokea,kama ni urefu wa vyumba mkubwa basi utakuwa wa kenya peke yake.

Embu sasa tupe urefu wa kila chumba ktk hilo jengo lako tufanye mahesabu maramoja.
Mbona simple sana! Chukua urefu wa jengo gawa kwa idadi ya ghorofa (hesabu ya darasa la pili). Na sio kwa majengo ya Kenya tu hata ya Tanzania na dunia nzima, infact unaweza kujua hata floor height ya burj ya dubai hapo hapo ulipokaa!!!!
 
minara au sio😀😀😀😀😀
 
Nairobi-The City With a Character

View-Park Tower-Uhuru Hwy/Utalii Lane-Nairobi

Ambank House-University Way-Nairobi

Nyayo House-Kenyatta Avenue/Uhuru Hwy-Nairobi

Anniversary Towers-University Way-Naorobi

Barclays Plaza-Loita Street-Nairobi

Hilton Hotel-City Hall Wy/Mama Ngina St.-Nairobi

Nairobi Safari Club (Lilian Towers)-University Way-Nairobi

Posta Sacco Co-op Tower-Uhuru Hwy-Nairobi

Kwa urefu na mapana ni
Udongo Mwekundu. Mchanga wa hio sehemu ni Red in colour.
Sasa si mupaite udongo mwekundu, tatizo kiswahili kimewapiga chenga, hilo jina mlililolipa hiyo sehemu sio sawa kihistilahi sababu hilo neno linamaanisha kitu kingine way out of reddish colors.
 
minara au sio😀😀😀😀😀
Moscow aviation engineer, Ngoja nikupe shule!
unachukua height ya ghorofa (sio jengo) unagawa kwa idadi ya ghorofa utapata average floor height.
Twende kwa mifano:
Burj khalfa ni kama 828 meters ila ghorofa zimeishia kama 740 meters hivyo basi ukichukua 740 meter ukagawa kwa idadi ya ghorofa (163) utapata average floor height ni kama 4.5 meters!
 
nakuuliza minara au???? mzee wa bomu
wewe unajisifia minara au??????? 😀😀😀

unifundishe wewe heheheh kazi ipo kweli, kwanza pamabana na hali yako alaf uje unifundishe mimi

hili nalo ni bomu sasa we livae tu alaf uone
 
Mmmmmmhhhhhh sijakusoma
 
Sasa si mupaite udongo mwekundu, tatizo kiswahili kimewapiga chenga, hilo jina mlililolipa hiyo sehemu sio sawa kihistilahi sababu hilo neno linamaanisha kitu kingine way out of reddish colors.
doesn't matter man. there is a town in Austria called '***'
kuna place Kenya inaitwa Mbooni na Kakuma.
tz kuna Bibi Titi na Mafinga Road.
it all depends with your mind I.e 'dirty mind'.
 
Mbona simple sana! Chukua urefu wa jengo gawa kwa idadi ya ghorofa (hesabu ya darasa la pili). Na sio kwa majengo ya Kenya tu hata ya Tanzania na dunia nzima, infact unaweza kujua hata floor height ya burj ya dubai hapo hapo ulipokaa!!!!
[emoji53] [emoji53] [emoji53] we jamaa unaumwa kideri.

Hatuwezi fanya hivi mzee ktk majengo.[emoji51] ni kenya huwa mnafanya hivi???
 
doesn't matter man. there is a town in Austria called '****'
kuna place Kenya inaitwa Mbooni na Kakuma.
tz kuna Bibi Titi na Mafinga Road.
it all depends with your mind I.e 'dirty mind'.
sensored word is 'Fvck'
 
Hahaha hivi kumbe mpaka mama nginaa anayo street named after her?? Hahaha for which governmental role specifically? Kenya ni mali ya family fulani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…