Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hujui there is a Hiace assembly line pale AVA Mombasa? Nyinyi endeleeni kushangilia imports, no wonder hamuezitoka LDC.
πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
huyu refa kachukua pesa huyu inamaana haoni faulo za madagascar hehe AfricaπŸ™ŒπŸ»
 
Apparently, this Madagascar team is fast becoming my favourite in Chan tournaments, they are so talented.
 
Hakuna kitu inawauma nyangau kama hizi chuma za umeme na infrastructure yake.
Eti wataweka umeme ile yao. Leo nimeangalia huu umeme nikasema huyo kichaa anaetaka kuweka umeme ni afadhali ajenge upya.
 
Eti wataweka umeme ile yao. Leo nimeangalia huu umeme nikasema huyo kichaa anaetaka kuweka umeme ni afadhali ajenge upya.
Hata wakiweka umeme bado hawataweza tembea kwa spidi tajwa
Kuna vitu gradient and curves ambavyo vyote vitahitaji kufanyiwa marekebisho ambayo bado yatakuwa na gharama kubwa ili ku attain hiyo speed
Bado kuna signalling ambavyo vyote hivyo ni gharama kubwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…