Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

3 fastest growing zones in Dodoma city.
1.Hazina/Medeli πŸ‘‡πŸΎ2. Njedengwa DodomaπŸ‘‡πŸΎ3. Magufuli City Dom πŸ‘‡πŸΎ.. hii ndio Dodoma ninayojua mimi πŸ˜„.

Hizi places zikimaliza ujenzi zikajaa πŸ˜† nafurahi sana.
 
Kenya power has 10 million customers, ebu waulize TANESCO ina customers wangapi? Oooopppss hawajui about customers, they only count villages.🀣🀣🀣
Kwanza amequote gazeti la serikali . Ni kama wakati wa Moi kuquote uchumi from Kenya Times ( owned by KANU)… he thinks he’s tricking meβ€¦πŸ€£πŸ€£
 
Munaongoza kusambaza vijijini 🀣
Watanzania ni vilaza. Haya tuambie munaunganisha nyumba ngapi kwa mwaka
 
Na pia mlipe watu kuingia uwanja muache kutuaibisha
 
Serikali imeamua ipee mashabiki tiketi za bure kuepusha aibu πŸ˜‚. Alafu serikali yenyewe hata haina pesa ya kupea team ikichapa morocco, surely 500k ni nini kwa team
 
Halafu kuna mbwa wanadai wanaweza ku-host Afcon peke yao! Kisa Talanta!
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ matajiri hao

View: https://x.com/moneyacademyke/status/1957291363763925200?s=46
Huko tulishatoka kitambo kijana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…