JHEPP kuna pesa ya mkopo pia.Kama tuliweza kujenga JNHEPP kwa hela yetu kwanini serikali ishindwe huu mradi ambao makisio yake yalikuwa USD 3bn. tuwekeze kidogokidogo in partnership with foreign investor through STAMICO in 5 years uwe up and running. economic return yake ni kubwa sana.
so simba na yanga hawachezi mpira au?😂Tukiwaambia Tanzania ushabiki wa mpira ni kati ya Yanga na Simba mnanuna., watch East African school games in Kakamega county Musingu(Kenya) VS Tanzanian school from Morogoro (Champions wa Tz)..,
Link👇👇 live match.., tazama fans walivyo jaa!!
https://www.facebook.com/
View: https://www.facebook.com/nyotatvke/videos/1676108146383299/?mibextid=rS40aB7S9Ucbxw6v
Wanaweza kutumia hiyo deposits as leverage ya kupata loan ya ku finance SGR from Mtwara to Liganga and Mchuchuma...Kama tuliweza kujenga JNHEPP kwa hela yetu kwanini serikali ishindwe huu mradi ambao makisio yake yalikuwa USD 3bn. tuwekeze kidogokidogo in partnership with foreign investor through STAMICO in 5 years uwe up and running. economic return yake ni kubwa sana.
Hapo tulipigwa kaka, na hali inaweza kuzidi kuwa mbaya.
Nani mna muongelea?Huyu alitakiwa aihudumie Tanzania bara kama rais.
Tumemkosa mtu sana aisee.
Sasa mkuu hao 2.5M slum dwellers ni wachache? Ukizingatia population ya wakazi wa Nairobi haifiki hata wakazi 5M? Kwahiyo ukipiga hesabu hapo unapata slum dwellers ni zaidi ya nusu ya population ya wakazi wa Nairobi, inawezekana hata wengi wenu tunao chat nao pia ni slum dwellers, hii haikubaliki na ni kinyume na haki za binadamu.Hakuna penye imeandikwa 2.5M Kibera Slum dwellers in 200 settlements. The article was clearly written there are approximately 2.5M dwellers in 200 settlements in Nairobi. Now type that in your darling ChatGPT utuambie Inakuonyesha nini.
Huyu ni mwanamke mzuri sana, wa wapi huyu? Lakini ajabu ya Mungu ni kwamba asilimia kubwa ya wanawake wa hivi huwa wana kasoro nyingi sana za kimaumbile.Je unaangalia airport au aliyepigwa picha kwenye airport?
View: https://www.instagram.com/p/DMneeseM9gI/?img_index=1&igsh=bDc1bHdvcXJmMmVm
Hakuna penye Iliad ikiwa 2.5M Kibera Slum dwellers in 200 settlements. The article was clearly written there are 2.5M dwellers in 200 settlements
Mwenzako ameshangazwa na the kind of construction going on in Westlands alone lakini wewe uko hapa unakenua meno sababu umeona miti unadhani ni msituni. Hatutaki baboons Westlands please, be warned.Naipori without filter 👇🏾
View: https://youtu.be/zLzQsyT8pxU?si=QaAaymRXRSa_tl9q.. 🤣🤣🤣🤣 Bertin kawavua chupi. Hii west inazidi posta 🤣🤣🤣 labda Posta ya Mtwara. Mikocheni is way better….
You don’t understand anything about financial literacy, ngoja siku tutaanza topics za uchawi ntakuita uchangie.Ni wasomali ndio wananunua hizo bond.
Have you ever heard of trickle down economics? I guess not because you are a Primary School dropout.Waombeni waje top management pekee.
Sasa wanakuja FULL HOUSE, nyie mnapata faida gani??
Mbona zile uswazi za Dar Zina uniform houses na hatulalamiki?Why uniform houses??
Ndio architecture ya Kenya??
Wewe mwenye akili Mbona hujui kutofautisha “r” na “L”?Na Meli za kutranship ziko wapi? Unajua nyie wakenya ni nguruwe. Meli za kudock lamu hamna. Container zipo kidogo. Meli za kufanya transhipment hamna. Hamna hakiri nyie.
You have been shown one berth with more than 500 containers lakini bado unalalamika, do you really know what you want? Ama ni uchawi ndio inakusumbua?si jana wameshusha containers tuu na meli nyingine bado inashusha mbona hatuyaoni hayo ma containers au mnapakia ngamia na mkaa?
Go ask your mother.Leta geotechnical report ya huo ujenzi ndio tutenganishe nature na engineering.
Westy or Parky type of vibe.