Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Tahmeed akizubaa abood atamuondoa kwenye hiyo route kumbuka hiyo route ya nyongeza Ina vip yenye choo kwa 2500ksh tahmeed ana vip isiyo nachoo 2200.
Wamuulize hood ltd miaka ya 90 abood alipotangaza dar mbeya,kyela kusafirisha Bure kwa wiki nzima
Ndio kwenda Mombasa ni elfu hamsini kaka? Mbona kama nauli ndogo sana!?
 
Ukitumia takwimu za mwaka mmoja haitoshi mfano mzuri yanga aliibukia from no where na kufika fainali ya CAF baada ya hapo hajatoboa hata makundi unataka kuniambia yanga ni bora kuliko hao kina Ahly? Ubora unapimwa na consistence na sio fluke za mwaka mmoja. Miaka 5 ni kipimo sahihi cha kusema huyu ni bora kuliko huyu na bado kuna ubora wa miaka yote.
Kuna rank za aina mbili.
Kuna rank ya timu bora kimsimu na timu bora kwa muda wote.
Hata UEFA wanaweka rank za aina mbili.
Ila rank ambazo UEFA wanazitumia sana ni za timu bora kimsimu.
Hata Fifa pia ni hivyo hivyo.
Ndio maana mwaka huu utaona Argentina inaongoza kwa Fifa rank mara miaka ijayo unaikuta inaongoza Brazil,mara Germany.
Ingekua hivyo Brazil hadi sasa ingebaki ikiongoza katika viwango vya Fifa.
Msimu huu katizame klabu bora Ulaya sio Real Madrid ni timu nyingine.
Ila ukitaja klabu kubwa over all time utawekewa Madrid.
 
Ukitumia takwimu za mwaka mmoja haitoshi mfano mzuri yanga aliibukia from no where na kufika fainali ya CAF baada ya hapo hajatoboa hata makundi unataka kuniambia yanga ni bora kuliko hao kina Ahly? Ubora unapimwa na consistence na sio fluke za mwaka mmoja. Miaka 5 ni kipimo sahihi cha kusema huyu ni bora kuliko huyu na bado kuna ubora wa miaka yote.
Ubora wa timu unabadilika kulingana na msimu husika, hata rankings zinaakisi ubora wa timu kwa mwaka huu na mwaka upiopita mana ligi inachezwa ndani ya miaka miwili, Yanga hawezi kuwa bora kuliko ahly mana ahly alibeba kombe la champions msimu ule, na pia Simba haipaswi kuwa bora kuliko Yanga mana wenzetu wametutawala kwa miaka minne sasa.
 
Hawa IFFHS wapo sahihi sana katika rankings, ni kama zile za ulaya. Rankings zinatakiwa kuakisi mafanikio ya timu kwa mwaka husika, tofauti na hizi rankings za CAF ambazo hazinaga ukweli wowote. Yani ukitumia utaratibu wa CAF ku ranks clubs utagundua kwamba ahly ataendelea kuwa namba 1 Africa hata kama atashuka daraja kwa misimu miwili (irrelevant).
IFFHS ndio kitu gani hicho? Wanasimamia michezo gani? Hizo rank unazozikataa za CAF ndio za FIFA

Pitia hapa acha uzembe

 
Back
Top Bottom