Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Itakuwa Magufuli bridge imesaidia.

Bado SGR to Mwanza
 
Reli ya kuunganisha Uganda na Tanzania ni muhimu pia!
 
I don’t think that would be possible sine IOC does not recognize EAC as a country. Some nations have similar format for certain sports like the Caribbean and cricket ( west Indies team) but even in that case only the International Cricket Council recognizes it hence no West Indies football or Olympic teams. Great Britain and North Ireland ( United Kingdom) are one nation under monarchy jurisdiction. Hata hii EAC sioni its future as long as TZ keeps playing hard games.
 
Lakini mchezo mliuuanza nyinyi kwa kuunda COW intention yenu ikiwa mharakishe kuizunguka Tanzania kwa vitu ambavyo mliambiwa vinahitaji muda , baada ya COW kufail na hamjagain chochote mnabaki ilaumi tz.🤣🤣🤣🤣
Kipi mlichogain kwa COW
 
That’s why we call you Bongolalas. So are you saying JPM interfered with free market and stopped private investments so the private money can be directed to public utilities?.. 🤣🤣🤣🤣… Kichwa yako iko sawa ?..
 
COW😂😂😂😂

Agenda zao zilikuwa SGR, EACOP, na Single tourist Visa.

EACOP iko Tanzania

SGR tumeshajenga na tuko bora zaidi.

Single tourist inanufaika Kenya tu, hatuitaki.

COW miaka 10 sasa haijafanya vikao😂😂
 
That’s why we call you Bongolalas. So are you saying JPM interfered with free market and stopped private investments so the private money can be directed to public utilities?.. 🤣🤣🤣🤣… Kichwa yako iko sawa ?..
You fool, seems you know nothing about Tz. 🤣🤣🤣🤣 Mjenzi mkubwa Tz wa nyumba ni NHC, sisi hatumuuzii mtu ardhi kama mnavyofanya huko kwenu fool.
 
You fool, seems you know nothing about Tz. 🤣🤣🤣🤣 Mjenzi mkubwa Tz wa nyumba ni NHC, sisi hatumuuzii mtu ardhi kama mnavyofanya huko kwenu fool.
That exactly proves the point that without government there is nothing in Tanzania. Private sector is dead . 99% of Dar skyscrapers and other projects ni government initiative whereas Nairobi is the opposite. You will never escape LDC status as long you fully depend on your government from crandle to grave..🤣🤣
 
Meat and Milk consumption is highest in Kenya in all East Africa! Nyie watu wa maharage na mihogo mambo ya nyama wachia wenyewe.,
Kenya meat commission abatuer.,
View attachment 3439160
View attachment 3439161
Nyie hata hela ya kula ni shida, nyama mnatoa wapi?
Ni hizo takwimu zenu uchwara kama zilivyo za uchumi.

Ingia baa tu za Tanzania angalia nyama kwa Kg zinavyo agizwa then rudi kwenu.
 
TZ practises state capitalism with free market economy.

That's why the economy belongs to the people.


Ninyi wazee wa kuokota okota, Somalis, Wazungus, Wahindi, Wachina, Waarabu.

Mpaka mashamba wao ndio walime.
 
Sasa hapo kunya ukitoa mali za wazungu na wachina Kunyarenda inabakia na nini.? 🤣🤣🤣🤣 jamaa wakihamisha mitaji kunya renda inabaki na nini.? A very weak nation.
 
Meat and Milk consumption is highest in Kenya in all East Africa! Nyie watu wa maharage na mihogo mambo ya nyama wachia wenyewe.,
Kenya meat commission abatuer.,
View attachment 3439160
View attachment 3439161
Meat is luxury in Kunyaland hata your mabanda can't sell it because no one can afford meanwhile Tanzania ugali nyama buku jero tu. Supu na nyama za kutosha 1000 tu

 
Problem in Kenya is the size of Stadiums, maybe tujengewe ya 1M seater ju hasta 100K tutajaza na watu wakose tickets. Hai watu huforce kuingia Stadi ni ju wamejaribu kununua tickets na hakuna, na wanataka sana kuona hiyo game. What next, force through!
 
I love t
I love this Idea, this would truly help bring true unity. Sports could really help us unite!!
 
Sasa hapo kunya ukitoa mali za wazungu na wachina Kunyarenda inabakia na nini.? 🤣🤣🤣🤣 jamaa wakihamisha mitaji kunya renda inabaki na nini.? A very weak nation.
Majority of Kenyan economy is controlled by Kenyans themselves. Unataka evidence?… you need to visit real estate sites on YouTube, instagram and other social networks. See how Kenyans move ..Kenya is on the way to upper middle class nation unless our politicians screw up ..
 
Uchumi wote wa Tanzania unamilikiwa na watanzania, matajiri wa Tz hawajatilia maanani tu uwekezaji wa nyumba. Unataka niweke investments za locals humu .?uone kama kuna mkenya mwenye guts za kushindana na rich Tanzanians.? 🤣🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…