Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Wanafikiri walivyoingia bungeni kwa njaa na kuiba chakula wataingia kwenye mechi za kimataifa hivyo hivyo? Wasishangae mechi zote zikahamishiwa Tanzania πŸ‡ΉπŸ‡Ώ
 
Nairobi has formed a very dense skyline with multiple nodes. One might think this is a city in Asia.

View attachment 3438464
what's missing here ni supertall (300m+)skyscraper. Nairobi ikapata 2-3 buildings of that height, skyline wise itakua imeingia league ya Asia na itakua ime cement its position as Africa's best city skyline. Though Cairo itakua challenge na don't forget to watch out for Addiss ababa, huyo chunga sana.
 
Baadala Mtanzania aseme Tu kwamba wanaogopa kupatana na Morocco Quarter Finals, hizi ndio excuses wanatoa πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

 
Addis Ababa is the biggest threat to Nairobi has far as tall buildings are concerned. Those people are not joking around, the rate at which Nairobi is building skyscrapers is the same speed Addis Ababa is also building their skyscrapers.

Dar bado wamebaki kushindana na Mombasa which will soon overtake Dar.
 
Those people are building sio mchezo, but what I've noticed is that when it comes to residential/mixed used luxury 20 to 30+ floors buildings (proposed, planned, under construction, topped out), no doubt Nairobi flawlessly dominates, but when it comes to commercial buildings (proposed na under construction)30 to 40+ floors, my friend hapo napatia Addis ababa kofia yake.

For Dar naye constrution boom yake ilisha kufa, na hata boom yenyewe ilikua forced and fake, kwasababu they were not constructing becuse of demand ama on a buissness lense of view. soon Dar itakuja kanyagwa na kigali na kampala to, na watabaki wameshikilia mkia ikifika kwa topic ya highrise buildings.
 
Kizuri cha jiuza, kibaya cha jitembeza.

We ona yaani hata baada ya kufanya kampeni kichini chini, kwa miaka 3, CCM mtandao wamepima maji wameona kina bado ni kirefu, wakaamua kupitisha jina bila utaratibu. Hiyo itakuonyesha jinsi gani mambo yalivyo kombo.
 
Kenyans store their money in money market fund accounts. Mambo ya bank accounts tulishawaachana nazo kitambo cause there is no interest you will get in keeping your money in the bank.
Kenya might have her problems but people got real disposable income. You can tell by social activities all over Kenya and real estate developments. I have seen clubs full on a Tuesday or Wednesday nights with bottle service in every corner. Who goes to clubs on weekdays anyways?..😁😁 Apartments and houses all over Kenya not just Nairobi are being snatched left and right before the first brick is laid down. They can’t keep up with the demand. When it comes to money, people will complain but they got secret stashes in various accounts for fun and investment. I know guys I went to Primary school with living better than me and they are in Kenya and are not politicians or corrupt. Welcome to Kenya. Hakuna Matata ..
 
Unaangalia sana movies bro.? 🀣🀣🀣🀣
 
Nyie mnaangalia sana movies za kivita sindio.? 🀣🀣🀣
 
Sisi tunafikiria kujenga metro na subways nyinyi mnafikiria kujenga maghorofa ya watu wachache
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…