mwaiofhawaii
JF-Expert Member
- Dec 24, 2022
- 6,460
- 6,886
Icho boy aliona rank ya Yemen kwanza ndio akubali..π€£π€£π€£Nimeshangaa ichoboy01 na REAL Comrade Kipepe ndio pekee wamekubali Harambee Stars ni wanoma. I thought they were the most unreasonable bongolalas.ππππ
Wakumbushe tunaingia na mia mbili sio hamsini kama bongolalas.Nyayo stadium. Zambia vs Angola
View attachment 3437709
Ni hamsini ya madafu ama ya Kenya ( in equivalent).. I am curiousWakumbushe tunaingia na mia mbili sio hamsini kama bongolalas.
Tuache upuuzi kupeleka wachezaji wetu nchi za Kiarabu! Aende Europe!Hiyo pesa ndogo sana kwa Wachezaji TZ.
Haina uwezo wa kumshtua mchezaji TZ.
Unaona huyu Mchezaji, Mzize anapata Ksh 800,000 kila mwezi na bado BONUS, na SIGNING FEE.
Na unaona Esperance wanamtaka kwa $1M, na mshahara hautakuwa chini ya $30,000.
Sasa huwezi kumshtukia kwa posho ya Ksh 1M kwa mechi za CHAN.
View attachment 3437679
This is football. The atmosphere is electric. Wakenya wanajua kushangilia, hata after CAF banned celebration items bado tumesababisha. Bongolala wakicheza utadhani ni mazishi.π€£π€£π€£
View: https://x.com/fufatv1/status/1954540633063903680?t=2RrGSXVyaG-wgCXStbJe4Q&s=19
Inategemea na ofaTuache upuuzi kupeleka wachezaji wetu nchi za Kiarabu! Aende Europe!
Ya Kenya. π€£πNi hamsini ya madafu ama ya Kenya ( in equivalent).. I am curious
Likija suala la muziki hawa nyangβau akina nairobae na yule pol nani sijui inabidi watulieπ
What!? 600m against 51m!?Mambo ndio hioβ¦
View attachment 3437738
Watu wako busy na wahunii huku wa uchaguzii ndio maana unaona hvi chan is not a trending topic kwa sasa Tanzania, kwaiyo ata msukumo wa kufatilia sio mkubwa kivile zaidi ya hapo ni wakati wenu kunga'aa na kutrend
They will face either Morocco, South Africa or NigeriaπππThe good news we will face the team behind Taifa Stars .. tutafunga tatu minimum on the way to Semi. Meanwhile Taifa Stars will face Moroccoβ¦ πͺ¦ R.I.Pβ¦ π€£π€£
Tumeonyesha dunia mzima that we deserve to host AFCON pekee yetu.Nyayo stadium. Zambia vs Angola
View attachment 3437709
Excuse galoreπππ.Watu wako busy na wahunii huku wa uchaguzii ndio maana unaona hvi chan is not a trending topic kwa sasa Tanzania, kwaiyo ata msukumo wa kufatilia sio mkubwa kivile zaidi ya hapo ni wakati wenu kunga'aa na kutrend