Reborn Ktb
JF-Expert Member
- Mar 14, 2021
- 6,906
- 9,731
That quack hua na IQ ya panya. Piga ua hio panya. 🤣🤣🤣Sawa. Kwa hivo pia mshaashinda game ya world cup kisa mmewai shinda qualification match ya world cup? According to your low thinking capacity Bongolala has won a world cup match without ever qualifying for world cup? Wewe mwalimu wako wa chekechea hakukutandika vizuri. 😀 😀
The good news we will face the team behind Taifa Stars .. tutafunga tatu minimum on the way to Semi. Meanwhile Taifa Stars will face Morocco… 🪦 R.I.P… 🤣🤣So kocha aoiingia akacheza? Mna bahati sana hatutakutana kwenye round ijayo. Shukuru Mungu sana
Hujui mpira. 🚮 🚮 🚮Hata mie nashangaa kwa quality ipi uiogope Harambe stars kiasi hicho?
Mpira wote tumeona labda naweza kusema Kocha ndio anaibeba timu ila sio uchezaji wa players.
Sijaona forward ya kumpita Ibrahim Bacca wala Shomari Kapombe pale wala Dickson Job.
Sijaona kiungo wa kati wa kumzia Mudathir Yahya pale tena kwa Feisal Salum ndio kabisaa wanatepeta hawa.
Hawa vilaza watajua hawajui mbele ya waarabuThe good news we will face the team behind Taifa Stars .. tutafunga tatu minimum on the way to Semi. Meanwhile Taifa Stars will face Morocco… 🪦 R.I.P… 🤣🤣
Ati Dickson Job na Kelvin Nashon ?….. na Mnasema Wakenya wanajifanya Wazungu … Oh Lord have mercy !..🤣🤣🤣Kenya hamuna beki kama Dickson Job,Shomari Kapombe, Ibrahim Bacca. Sijaona kiungo wa kati kama Kelvin Nashon au kama Feisal Salum au kama Mudathir Yahya.
Kenya bado kukamia kwenu ni sawa na Stellenbosch kumfunga Zamalek akijisifu anajua mpira akaja kukutana na Berkane akafa goli 5.
Hamuna quality hiyo bado na kukamia huko.
Your grim reaper is Morocco 🇲🇦. Since they will be second in our group, they are coming to Mkapa . That will be your demise. Just like when Argentina lost to Saudi Arabia, don’t be surprised the Atlas Lions going all the way to the Finals ( hopefully we meet them again)..Haijalishi lakini kufuzu imefuzu😎
Woow!..Kenyans have a good chunk of disposable income… This is one example of an economically superior nation in comparison to vilaza fulani south of the border 🤣🤣🤣Nyayo stadium. Zambia vs Angola
View attachment 3437709
Icho boy aliona rank ya Yemen kwanza ndio akubali..🤣🤣🤣Nimeshangaa ichoboy01 na REAL Comrade Kipepe ndio pekee wamekubali Harambee Stars ni wanoma. I thought they were the most unreasonable bongolalas.😂😂😂😂
Wakumbushe tunaingia na mia mbili sio hamsini kama bongolalas.Nyayo stadium. Zambia vs Angola
View attachment 3437709
Ni hamsini ya madafu ama ya Kenya ( in equivalent).. I am curiousWakumbushe tunaingia na mia mbili sio hamsini kama bongolalas.
Tuache upuuzi kupeleka wachezaji wetu nchi za Kiarabu! Aende Europe!Hiyo pesa ndogo sana kwa Wachezaji TZ.
Haina uwezo wa kumshtua mchezaji TZ.
Unaona huyu Mchezaji, Mzize anapata Ksh 800,000 kila mwezi na bado BONUS, na SIGNING FEE.
Na unaona Esperance wanamtaka kwa $1M, na mshahara hautakuwa chini ya $30,000.
Sasa huwezi kumshtukia kwa posho ya Ksh 1M kwa mechi za CHAN.
View attachment 3437679
This is football. The atmosphere is electric. Wakenya wanajua kushangilia, hata after CAF banned celebration items bado tumesababisha. Bongolala wakicheza utadhani ni mazishi.🤣🤣🤣
View: https://x.com/fufatv1/status/1954540633063903680?t=2RrGSXVyaG-wgCXStbJe4Q&s=19
Inategemea na ofaTuache upuuzi kupeleka wachezaji wetu nchi za Kiarabu! Aende Europe!
Ya Kenya. 🤣😄Ni hamsini ya madafu ama ya Kenya ( in equivalent).. I am curious
Likija suala la muziki hawa nyang’au akina nairobae na yule pol nani sijui inabidi watulie😎