concordile 101
JF-Expert Member
- Oct 13, 2013
- 6,999
- 15,466
Nataman mwaka huu tufunge mpaka waanze kununua mchele wa Tanzania kupitia madalali wa Ugandaπ€£π€£π€£matajiri hali tete ππππ
View: https://x.com/moneyacademyke/status/1954029872432787805?s=46
Alafu wauzaji wanaenda kuishi wapi? Ama wanaendeleza uswazi kwingine?Umeona hapo Tandika?
Huo upande wa hilo gorofa nyumba za pembeni zote hapo zimenunuliwa na mjengaji wa hilo gorofa.
Zote zinasubiriwa kuvunjwa ziinuke gorofa.
Hiyo ni Tandika.View attachment 3435965
Ushaabiki kando but I have a feeling Kasarani's pitch isn't good either. I think iliharakishwa to beat the deadline. Nyayo's pitch is way better than Kasarani's in my opinionPitch ya Uwanja wa Mkapa ndio mbovu kuliko zote.
Ya Uganda kama ya Zanzibar
I still have a lot of issues with your statements. First, kila siku hapa mnatuambia kwamba watanzania hawana culture ya kuishi kwenye apartments ndio maana Dar hakuna apartments nyingi kama Nairobi. My question therefore is, hizo apartments zitapangishwa na nani?Khaaa kwani hakuna matajiri wanaoununua nyumba na kujenga makazi ya kupangisha?
Ngoja nikuletee mfano.
Si mliomba msamaha bwana Mtombwe? Ushaasahau?How long did that ban last?
Lakini pia, kumbe wanao-export hao mahindi siyo Wakenya tena??
Wanasema Healthy foods, maana yake wameshaanza kula GMOsNataman mwaka huu tufunge mpaka waanze kununua mchele wa Tanzania kupitia madalali wa Ugandaπ€£π€£π€£
Usisahau hizi vilio.πππNataman mwaka huu tufunge mpaka waanze kununua mchele wa Tanzania kupitia madalali wa Ugandaπ€£π€£π€£
Giza stadiums!Yet it will be the venue for the Finals. Kama hufurahishwi then peleka malalamishi kwa CAF.
Maswala ya kilimo mngeacha kupost kwa kweli.
Jamaa, kuna jukwaa la siasa. Sidhani kama ni hiliNi mwendo wa kuchukua makaburi tuu ππππππππ
View attachment 3436817View attachment 3436818View attachment 3436819View attachment 3436820View attachment 3436821
My Take
Jipangeni 2030
View: https://www.instagram.com/p/DNIWkXmMkIJ/?igsh=OTFyamh1OXg0aDRz
Who are you to tell us what to do?Maswala ya kilimo mngeacha kupost kwa kweli.
Wakenya bhana. Sasa hayo majenereta ya nini wakati watu wanatumia solar power na connections from national grid. Inaonesha namna kenya bado ipo primitive.
Watu wanao walisha.Who are you to tell us what to do?