Under constructionβ¦Mko na ujinga sana ..ππππππππ»ππ»ππ»
View: https://x.com/makiadi_/status/1954070215295201361?s=46
Fungeni tenaMipaka ilipofungwa hivi ndio kulienda. π€£ π€£ π€£
View: https://www.youtube.com/watch?v=pMBXHqil_Gs
Angalia comment section mlivyo na mauchungu.Fungeni tena
How long did that ban last?
Brother unahangaika sana. Sisi tunakula na kuishi maisha mazuri. Comments nyingi huko youtube wengi ni wakenya created kila mmoja more than 100 Accounts kwaajili ya bullying watu online. Mnahangaika sana wakenya. Afrika nzima imewajua mpo too insecure. Check hapa you have more than 5 Accounts in nairaland.com
Nataman mwaka huu tufunge mpaka waanze kununua mchele wa Tanzania kupitia madalali wa Ugandaπ€£π€£π€£matajiri hali tete ππππ
View: https://x.com/moneyacademyke/status/1954029872432787805?s=46
Alafu wauzaji wanaenda kuishi wapi? Ama wanaendeleza uswazi kwingine?Umeona hapo Tandika?
Huo upande wa hilo gorofa nyumba za pembeni zote hapo zimenunuliwa na mjengaji wa hilo gorofa.
Zote zinasubiriwa kuvunjwa ziinuke gorofa.
Hiyo ni Tandika.View attachment 3435965
Ushaabiki kando but I have a feeling Kasarani's pitch isn't good either. I think iliharakishwa to beat the deadline. Nyayo's pitch is way better than Kasarani's in my opinionPitch ya Uwanja wa Mkapa ndio mbovu kuliko zote.
Ya Uganda kama ya Zanzibar