Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Nani hapa anafaa kumaliza umasikini kwake kwanza kabla ya mwenzake?

View: https://x.com/WorldBank/status/1317435268614492160?t=vuqzkV1WCE6YlUQ1DVGH5w&s=19

kwenye hao 28 million extreme poor ni 100% black people na hakuna muhindi, mwarabu au hata chotara tu hata mmoja, it tells a lot about us as people, afrikan people, dunia nzima foreign looking minority ndiyo huwa masikini na majority humiliki nchi, ila tanzagiza tumekuwa brain washed ukiongelea unfair accumulation of wealth kwa wachache wahindi na waarabu wanakuita "mbaguzi" na kwa tanzagiza kuitwa mbaguzi ni big deal, the system imekuwa designed hivyo ...
 
Republic of Talkovia aka Mouthnation Republic, Kundustan. Unaandika too many words, context zero
 
Republic of Talkovia aka Mouthnation Republic, Kundustan. Unaandika too many words, context zero

you are in denial, idadi ya wahindi tanzagiza < laki 2 (200 000) kati ya watu > milioni 50 black people, na hao laki 2 wanamiliki >85% ya uchumi wa tanzagiza ...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…