Pole sana naona jiwe limefika ukatoa mlio.Sawa Quack.
Pole sana naona jiwe limefika ukatoa mlio.Sawa Quack.
Yani hata baada ya watu 10,000 kuingia bure bado mkapa ni half empty na ni team ya nyumbani inacheza
View attachment 3434232
View attachment 3434229
Meanwhile kenya mashabiki wanastruggle hata kununua tiketi. Mechi mbili za kenya zifuatazo tickets zishaisha tyari
View attachment 3434234
Watanzania ni domo domo tu wanajua
So in short gava haingewalipia, stadium ingekua empty. 🤣 🤣 🤣 GDP ya 400 billion usd hawana pesa kwani?
Si hua munasema muna GDP kubwa, kwani hamna pesa ya kujaza stadium. 🤣🤣🤣
Kunyarendans mnahangaika. Kujipa faraja sio.?Yani mimi sioni vile caf watakubali mechi yeyote ya afcon iandaliwe Tanzania
Hawa ni maskini wote. CAF wamejionea kwa macho and this automatically will take more games to Kenya for AFCON😂😂😂GDP kubwa na hawana hamsini, sasa wangelipishwa mia mbili je. 🤣 🤣
Mnuka mkundu unajitia vidole unacheka.. 🤣🤣🤣Hawa ni maskini wote. CAF wamejionea kwa macho and this automatically will take more games to Kenya for AFCON😂😂😂
Kunyarendans mnahangaika. Kujipa faraja sio.?
Wameaibisha EA mbaya sana. 🤣🤣Hawa ni maskini wote. CAF wamejionea kwa macho and this automatically will take more games to Kenya for AFCON😂😂😂
Kupata Tu 50 bob ya kuenda kuwatch ball imewashinda.Mnuka mkundu unajitia vidole unacheka.. 🤣🤣🤣
Yani kwa wenyeji ni Tanzania peke yake ndio atafika mbali.Nyang'au akina Teargass walikuwa wanasubiri matokeo ili watuzodoe kama walivyofanya kwa Uganda😂😂
Wakenya wanaumia sana. Hongera Taifa StarsNyang'au akina Teargass walikuwa wanasubiri matokeo ili watuzodoe kama walivyofanya kwa Uganda😂😂
A 30,000 seater stadium ambayo mostly wanasiasa wamenunua wagawe bureHuku kenya even ordinary tickets for Congo DRC vs Zambia at Nyayo sold out.
View attachment 3434255
Kesho utaona vile wanang'ang'ana kuzoom pictures ili at least wapate hata empty seats at Kasarani 😂😂😂Wameaibisha EA mbaya sana. 🤣🤣
tuliza tako sindano imelize dawa plz 😂😂Timu yenu imecheza leo huna hata updates ya kutupea lakini upo busy mtandaoni ukitafta habari za kenya kujiliwaza na kuficha aibu ya kushindwa kujaza uwanja
Ni nini inawazuia kujaza stadium? Yani Ile aibu mmeleta Africa Mashariki hakujawaitokea😂😂A 30,000 seater stadium ambayo mostly wanasiasa wamenunua wagawe bure
Ingekuwa ni mkenya ndio ametweet hivi saa hii bunge la Tanzania ingekuwa inadiscuss this tweet 😂😂😂.
NairobiWalker
View: https://x.com/TheMutaD/status/1953026507980337427?t=57lmjxQdXXvDtgrx0Gn8BA&s=19
Tutaangalia mpira wa kesho. Naona huna raha kabisa na matokeo ya leo😂We don't care about the results. What we focus on here is the attendance. Na ndio mlikuwa mnataka kuiandaa pekee yenu?😂😂😂👇👇👇
View attachment 3434310