Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Upanga tour
8ae1f9bf2e7cc3c6d9fb3bff23b5ea6a.jpg

..i see some of 18 flr towers in Upanga nowadays . ..kweli Wa Tz tuko Kimya ..cjawai ona thread hata moja Skyscraper city ya Jengo la Upanga
 
Tena kaandika SE9 , Moja ya Member na Mod wa skyscapercity anayejielewa toka hata member wengine kujiunga na SSC mwaka 2005, Hivyo hiyo ni solid info na TIMES Tower ni 28 fls Confirmed.
Hawa jamaa c wanaleta uongouongo2
Kama ingekuwa 33 ata mbna tusingekaa humu
 
Uhuru Heights 103 metres 27 floors.

Teleposta Towers 120 metres 27 floors.
 
Aisehh nimeamin bakenya ni baongo ..mm nimehesabu napata 25 hadi nkahisi na ugonjwa wa macho ..watu wanakwambia 38 ..yan 25+13 ..

Another primitive Danganyikan just like the others...... sasa if you are there more learned ones in Danganyika na mko na ujinga kiasi hiki jee wenye wako kwa ujamaa villages??
 
Millennium Towers 103 metres 30floors

NSSF Building 103 metres 28 floors
 
Another primitive Danganyikan just like the others...... sasa if you are there more learned ones in Danganyika na mko na ujinga kiasi hiki jee wenye wako kwa ujamaa villages??

Sio swala la elimu ..just count yourself and tell us kama kweli ni 38flrs ..sema tu ule ukweli ..mbona cc kitu kama hakipo tunakubali tu wazi wazi..just sema kwa facts ..SE9 kadanganya kwan ..?
 
Hawa jamaa c wanaleta uongouongo2
Kama ingekuwa 33 ata mbna tusingekaa humu
Wasubiri mpka baada ya miaka minne waje waongee na mwanaume Dar.

NUMBER OF ABOVE 30 FLOOR BUILDINGS IN THE CITIES OF DAR ES SALAAM AND NAIROBI

DAR ES SALAAM NAIROBI
1. MILENIUM TOWER 30................... BRITAM TOWER 30
2. PPF HQ 35 ................... PRISM 34
3. MZIZIMA COM 34................ UAP 33
4. PSPF 1 35 ...................AVIC 1 U/C (3 years atleast)
5. PSPF 2 35 .............................. AVIC 2 35 U/C
6.MZIZIMA RES 33 ..................MONTAV 1 40 (Site Clearance)
7. MNF 1 ....................... MONTAV 2 30 (Site Clearance)
8.MNF 2 30 ........................ PINNACLE 2 40
9.TPA TOWER 40 ............................PINNACLE 1 70 (UCHIMBAJI MAFUTA)
10.RITA TOWER...................TIMES TOWER? I heard its 28? 😀
 
Back
Top Bottom