Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Upanga tour
fb6c20ee10de07f7aa91e8f7ce99ea87.jpg
 
Mbona mna vijineno vingi kama vya watu waliokerwa, kila kitu mko na issue nacho, mkiletewa magari ya 4x4 mnasema ni uchafu, mkiletewa baiskeli nayo ni shida.... Hapo juu anneal kaandika number 5. Culture and lifestyle , number 8. Places to visit

Sasa mbona mnaleta issue tena
Hatuwezi kerwa na baiskeli mzee wala mbio za farasi,tunakerwa na njaa.
 
Mzizima towers 133.91metres 35 floors

Times tower 140metres 38 floors
 
30 zenyewe hazijafika mkenya sio mtu wa kumuamini kwenye maneno yake 10 chukua moja tu uondoke

Aisehh nimeamin bakenya ni baongo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]..mm nimehesabu napata 25 hadi nkahisi na ugonjwa wa macho ..watu wanakwambia 38 ..yan 25+13 ..
 
Afu kumbe sio 30 ata
Ni 28flrs[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kuna cku nikaona na Kenyata wikipedia wameibadirisha iwe 33flr[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
45128cca229651f20c3172996ab606ff.jpg
 
Back
Top Bottom