Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

mtanzania hua hana sifa za kipuuzi kama zenu

TPA 40fl
pspf 35
pspf 35
mzizima A 40
mzizima B 40
ppf hq over 40 kaa mkao wa kula

povu na hasira ruksa😀😀😀😀
Kuna mda nilikuwa pale ppf hq
Enzi hizo
Wakasema ni tallest Tanzania meaning itakuwa taller than TPA(40flrs)
Sikuamini but sahv naona wataenda more than 40
 
hebu nikuletee slum mm nafkiri wewe hujui maana ya slums 😀😀😀😀😀 tena nyumba zimepangwa kwenye order na barabara zinapita unaita slums subiri nikuletee slums naona ukezisahau
Kama izo ndio nyumba mnaishi izo ni slums
75596c92336000d3a6f328389d79ef66.jpg
 
hebu nikuletee slum mm nafkiri wewe hujui maana ya slums 😀😀😀😀😀 tena nyumba zimepangwa kwenye order na barabara zinapita unaita slums subiri nikuletee slums naona ukezisahau

Leta za Tandale Mwanzo tukuaibishe
 
Siku zote.... Somalia will overtake us but not Danganyika.... Burundi will even overtake you.... You can take that to the bank
Kama the biggest threat kwenu ni somalia sisi haituhusu,ila sisi kwa sasa hatuoni nguchiro yeyote EA &CA wa kumuhofia.
 
Tihahahhaaaaa.... I have known today that you are just a primitive set... Hata hiyo you cannot research on your own... Kelele tu hapa za chura.
ziko wapi sasa unaposema zipo inamaana tuzione sasa ziko wapi????😀😀😀😀😀😀
 
Back
Top Bottom