Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

i see parkland, kilimani , westland, CBD and upper hill in one pic πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

alaf bado unaambiwa 690km sq na nairobi nationl park iko ndani ya hzo km sq na bado ile misitu imezunguka kila kona
Kilimani iko wapi hapo bongolala? The picture is taken from Parklands sasa sijui hayo magorofa ya Upper Hill hayafai kuonekana or what's exactly your point?


What will you say about this picture taken in kijiko ya nyama and showing your entire cbd, kariakoo and Upanga all in one shot? Nini kilichobaki hapa?

 
Shabana nets over a million kshs in gate collections., kuna wakati kule Gusii stadium Kisii they collected Kshs5M, mashinani, haijawai kutokea Tanzania timu ikusanye pesa kiwango hiyo nje ya Dar.., fanya google rafiki., sio lazima uulize maswali..,
How should we believe the crap ikiwa players hawawezi lipwa salary na wanalia?
 
Hata wakilima bado sisi bidhaa zetu zitakuwa cheap kuliko zao. Hapa kwenye msosi hawachomoki leo Kenya is our backyard in food trade.
 
Tuonyeshe current picha za hayo maeneo,dar hamna slum,then hiyo chang'ombe unayoiota haina viwanja vya squarter,95 ya nyumba zake ni za kota na ndio moja maeneo ya kisure mitaa iliyopangiliwa na muingereza kama ilivyo magomeni,all in all ww ni mngese
You call this one planning?🀣🀣🀣

What then will we say of Lang'ata below?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…