Somali regime.Wacha kudanganyia typo buuda. Yaani umefuatanisha vizuuri South A, B, C hadi umeweka koma alafu unasema typo? Wavumbistan wanadhani kila mtu ni vumbistan. 🤣 🤣
Mo dewji anakua mbunge tayari alishakua billionaire wa net worth $ 1.2 billions.Mo Dewji hajawai kua mbunge?
Sasa ndo tunaanza pata picha ya elimu yao haswa , fikiria kama mtu anakuambia skd ni process 🤣🤣🤣🤣🤣Hawa Kuna muda unaamua kuwaacha tu.
Mwingine huyo huko anakwambia China is a capitalist nation.
Huku skd is assembly process.
Huyo mbugila vumbi N-card is ATM card.
Dooh! Kweli acha watu wazae watoe uvimbe tumboni😂😂😂😂
Mombasa ni sehemu ya ku brag we mbwa.? Jitu fala.. 🤣🤣🤣 nije nione nini mombasa.? It’s like other villages in Tanzania.Ushaawai fika Mombasa?
Upo related pia na umaskin usijisahaulishe.Medical Checks up are free in Kenya. So please tell, how is kidney disease is related with wealth of a person? How many wealthy people have been diagnosed with kidney problems? Ama hao pia maskini? You are just foolish.
Nini ku assemble, tumekuwa tukiunda magari from scratch toka 70s (Nyumbu).You pretend to know better than AVA yet your country has never assembled a single passenger car. 🤣🤣
The economy has expanded by 29% last year 🤣🤣🤣
Elimu ya Kenya ni vichekesho.Sasa ndo tunaanza pata picha ya elimu yao haswa , fikiria kama mtu anakuambia skd ni process 🤣🤣🤣🤣🤣
Hawa watu ni wa kuwaonea huruma, wachache wanaojitambua wako kimya sanaElimu ya Kenya ni vichekesho.
😂😂😂😂 Kuna wengine hukutana nao huko Fb unaweza Cheka.
Halafu mtu anajipa jina kubwa "civilized iconic content creator".
Hizo content zake sasa😂😂😂.
Ukimuwashia moto anakwambia una childish unnecessary competition or arguments.
Aisee pia wanakimbilia matusi juu.
Ngoja nikuletee kichekesho kimoja hapa ucheke.😂
Ukiona umekosea unahamisha magoli.
Familia yao inapesa siku nyingi, uncle wake alikuwa mfadhili mkuu wa simba toka 80's, wakati huyu Mo anasoma primary school.Mo Dewji hajawai kua mbunge?
Tanzania imeharibia Africa jina. Kama Makwapa ndio hawawezienda, nashangaa ni Nani ataenda kwa Ile misitu ya Arusha.
View: https://x.com/timexx47/status/1951901542841303399?t=gPHW4_g-z_ysnNoO4BBhXg&s=19
Ni kweli kabisaaa, uswazi za Tanzania ni middle class living, yaani hapa👇👇 ndio middle class ya Tanzania, hizi sio slums ni makazi ya 90% ya wakazi wa Dar, ambao ni vijakazi Dar.,50% of Nairobi's population are living in slums, not even middle income areas. Uswazi za Tanzania ni middle income areas huko Kenya, but slums in Kenya ni something else. Who thought that palces like Kibera and Mathare exist in this world. Lol
Baaada ya kurekebishwa ndo ukaja jua kuwa ni product uzuri post Zina namba.
Post na 609,786Ukiona umekosea unahamisha magoli.
Ulianza kusema skd ni assembly process kabla hujasema ulichokileta hapa sasa hivi.
Post ya kukosolewa nayo ni number ngapi? Hakuna mahali umenikosoa.Baaada ya kurekebishwa ndo ukaja jua kuwa ni product uzuri post Zina namba.
Post ulivyosema ni product ni 609,786
Baada ya kukoselewa ukabidili usemi kuwa ni product kwa post na 609,789
Ukiangalia mtiririkk wa post zako za nyuma ilikuwa umeshikiria kuwa skd ni product kabla ya kukosolewa🤣🤣🤣🤣
Embu tizama kama hiyo argument.Hawa watu ni wa kuwaonea huruma, wachache wanaojitambua wako kimya sana
Have you ever built passenger cars?Nini ku assemble, tumekuwa tukiunda magari from scratch toka 70s (Nyumbu).