Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

uhehehe yani hio ni pesa tanzania intengeza kwenye port and transport sector πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

copper from congo and zambia
Port si ni ya Mwarabu? Dar Port haimilikiwi na Tanzania.
 
umeamua kutuonesha takataka live bila chenga πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ™ŒπŸ»πŸ™ŒπŸ»πŸ™ŒπŸ»πŸ™ŒπŸ»

leo umejipiga denda mwenyewe
Poe kwa maumivu. Ulisema affordable housing atafanyika, saa unatafuta kichaka cha kujifichiaπŸ€£πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Uko sahihi mkuu ila nahisi inahitajika pia baadhi ya sera za Chama Cha CCM zibadilike maana inaonesha kabisa Kuna mapungufu kwenye sera zake baadhi.

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚Inamaana mkuu hauamini mikono mingine nje ya CCM?
 
Embu Wacha nijadili mambo ya maana.
Baki na ukichaa wako unanipotezea muda hapa.
 
Hivi sera za ACT wazalendo zikoje?

Hii sheria ya wa znz kumiliki ardhi bara ila sisi kutomiliki kule, mbona ya zamani sana. Wakati na kua hata kwenda Znz ilikuwa lazima uwe na passport.
Sera zake nitaleta soft copy yake na kumwaga humu uzione mkuu.
Ni sera nzuri tu na jengefu.

Kuhusu umiliki wa ardhi sijajua kama hiyo ilikua ni ya zamani sana shukran umenifahamisha.
Ila hivi wewe unaona ni sawa mpemba aishi Bara pasi na vikwazo ila Mbara akienda visiwani awekewe vikwazo hasa hilo la ardhi!?
 
Hapo ni halftime?

View: https://vm.tiktok.com/ZMSKno8Ek/ This post is shared via TikTok Lite. Download TikTok Lite to enjoy more posts: TikTok
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…