Watu wanalalamika juu hakuna anymore tickets. Yani tickets za Stadium ziliisha 5 days ago.Hiyo nchi ilishagakufa miaka mingi.
😂😂😂political unrest zipi hizo? wacha kuongea mambo ya ajabuajabu ku-substantiate uwanja kutojaa!
Mwingine nae kapuyanga 😄😄😄Na wewe kwa akili zako unafananisha ATM card na N-card!?
Elimu ya Kenya ni janga.
Yes, a reason we are qualifying for all continental tournaments and we are ranked higher than Kenya by FIFA.The most boring match, that's why this tournament is for local amateurs,
And mbona squad yenu ni watu wale wale since 2020!
Inaaashiria hamna new talents
Nilirecord hii Barabara wakanipiga vita.😂😂Yameshatokea! Tulivyo SEMA hapa kwamba Tanzania watatutia aibu na hii uLDC wait na slums kila kona. Sasa hii aibu Gani!!!!!!!
View attachment 3428664View attachment 3428665
https://www.facebook.com/
View: https://www.facebook.com/share/v/16esn6ejnw/
Nioneshe slum hata moja hapo!?
Kuna ubovu wa barabara tu kutokana na malori yanayopita hapo mara kwa mara.
N-card is a brand name you idiot.Na wewe kwa akili zako unafananisha ATM card na N-card!?
Elimu ya Kenya ni janga.
Tunajua wewe ni primary school dropout na hujui big international corporations usually operates via regions. Sasa ona vile unakaa mjinga ju Kenya ndio regional headquarters ya East Africa.Third world man ndio maana takataka kama hiyo hawawezi kuweka hata kwenye page yao achilia mbali kuiweka kwenye official dealership showroom 😂😂😂 hawawezi hata kuipa certificate approval
Walisema tutapelekwa na malori. 😂😂Vehicles taking people to Kasarani Stadium.
View: https://x.com/TeyaKevin/status/1951948433780023374?t=a5JIwQWrgdvFKld8z6hJXg&s=19
I got tired educating that quack, nimekuachia hiyo button uendelee nayo😂😂N-card is a brand name you idiot.
Na tena hizi ni zile built in Kenya, mambo ya Chinese boxes hatutaki.Walisema tutapelekwa na malori. 😂😂
Mimi sinanga hiyo patience. Nitampiga tu za uso.😂I got tired educating that quack, nimekuachia hiyo button uendelee nayo😂😂
Canopy ya nyayo ni gani?Watanzania ni lini mtaacha kuwa wajinga? All the stadiums in the world have canopies.