Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hiyo ni ATM card.)? 🀣🀣🀣🀣 can someone withdraw money with N-card…? Hujui hizo vitu bush boy. Stay on your lane.. vitu hizo utawahi Ona siku ukitoka hapo kunyarenda.
Msenge huyo hajui chochote kuhusu N-card, na apo ndipo utofauti wa maendeleo baina ya Kenya na Tz ulipo, mwambie hivi πŸ‘‡πŸ‘‡
 
Unapajua hapo ni wapi!?
Hapo Kuna container depot huo upande opposite Kuna chuo Cha DUCE.
Hakuna slums hapo.
Huo upande barabara imeharibiwa kwasababu ya malori.
Ngojea nikuletee picha zake uone.
Utajichosha tu na huyo jamaa bingwa wa kukaza fuvu
 
Imagine mtu anaona N- Card anakaza fuvu na kusema ni ATM card, Mwingine anaona REA electricity accessibility anawaza nguzo inafika kijijini ila haiconnect households πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚. Kuwa mkundustan ni laanaπŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…