concordile 101
JF-Expert Member
- Oct 13, 2013
- 6,999
- 15,468
Haha kwamba watazuia magari yakitanzania 🤣🤣🤣, watakosa mpaka mbao za kuezekeaVehicle owners ndio kina nani wakundustan?
View: https://x.com/GetembeTV/status/1950528586932248892?t=uPanCiS7QzWQzfpTlO2Aug&s=19
Vita ya Kabali ya kimyakimya huwa tamu sana , yaan mpaka sasa sijasikia kiongozi yoyote wa serikali aliyetoa ufafanuz , hivyo ndo inavyotakiwa na kwa yule atayetoa ufafanuzi kitumbulio kiwe kinamhusuTena wafanye kama wanajikuna tuu au waseme suuu.
😂😂😂 Labda watatumia mbao za mirungiHaha kwamba watazuia magari yakitanzania 🤣🤣🤣, watakosa mpaka mbao za kuezekea
Imagine eti unapata watalii wengi kutoka Burundi na Kenya ,kwa pesa ipi wanayoweza leta tz😂😂😂 Labda watatumia mbao za mirungi
Kwikwikwikwikwi Mzee Tanzania inawatesa sana.I can see this futuristic headline;
“Tanzanians cry out with complaints after Kenya bans foreign beggars “… there I said it…🤣🤣🤣
Ndio hao wapiga debe, Waandishi wa kibongo nao maandazi, Arrivals not equal to Tourists, Wanahesabu hadi hao wamatumbi wanaokuja kuganga njaa kama tourists 😂Imagine eti unapata watalii wengi kutoka Burundi na Kenya ,kwa pesa ipi wanayoweza leta tz
I personally know of a major player in the industry who leases land using a Tanzanian partner ( I am a friend with his kids who reside in the US) I don’t want to create a controversy but there are many Kenyans especially from Mount Kenya region who do the same. And that’s a fact you can take to the bank. Now Kenyans are in Uganda and DRC doing the same. It’s about affordability of arable land. Kenya land is limited and the most expensive in the region therefore to be a large scale farmer you have sometimes to explore beyond the borders. Plus no country in the region comes close to Kenya in terms of entrepreneurship. Now you knowKenge umeelewa wanacholilia?
It means mlikua mnanunua mashambani direct. Now hakuna hicho kitu.
watakosa mpaka chakula cha kuwapa nguvu ya kuendesha hayo magari. Unafanya masihara na mtu anayekulisha🤣🤣🤣Haha kwamba watazuia magari yakitanzania 🤣🤣🤣, watakosa mpaka mbao za kuezekea
We kenge upo unaropoka na mnatumia youtong toleo la 2018 huko damn. Nyie ndio mnatakiwa kuona aibu kuwekea watu Used scrappersMnabeba wachezaji wa nje na hizi takataka sura mbaya imported za kichina?
Yaaani ata hamna aibu.
Na hapo ni pre season kit, kit yenyewe bado kabisaUzi huu siukosi lazima nikaununue.
Hili tena bila sticker tungeona hadi kutu😂. Achilia mbali mifugo ile ya kwenye seat😂 ( Aka Kunguni)We kenge upo unaropoka na mnatumia youtong toleo la 2018 huko damn. Nyie ndio mnatakiwa kuona aibu kuwekea watu Used scrappers
View attachment 3424852
Hawa wakenya hawana kazi,wao ni mitandaoni kuangalia Tanzania tu😆Sisi tunafanya mambo yetu ya ndani kwaajili yetu sasa mbona milio inatokea nje ya nchi? Na nyie fanyeni ya kwenu kila mtu na nchi yake kuliliana ya nini sasa? Is our domestic policy affecting our neighbours? kweli domestic policy ya Mexico inaweza ikaathiri USA Eti wamarekani wanalilia kujihusisha na biashara ndogondogo Mexico😁
To hell with your bullshit, kwanza we jamaa sio chochote.I personally know of a major player in the industry who leases land using a Tanzanian partner ( I am a friend with his kids who reside in the US) I don’t want to create a controversy but there are many Kenyans especially from Mount Kenya region who do the same. And that’s a fact you can take to the bank. Now Kenyans are in Uganda and DRC doing the same. It’s about affordability of arable land. Kenya land is limited and the most expensive in the region therefore to be a large scale farmer you have sometimes to explore beyond the borders. Plus no country in the region comes close to Kenya in terms of entrepreneurship. Now you know
Si huwa tunaambiwa booking huwa imejaaWameshaanza kuja Europe ya EA kupata first time experience ya development 😁
https://www.facebook.com/
View: https://www.facebook.com/share/p/1YJgcVcEpd/
Ongeza bodaboda riders, maids, mapoko, na mitumba guys.I can see this futuristic headline;
“Tanzanians cry out with complaints after Kenya bans foreign beggars “… there I said it…🤣🤣🤣