The fact that imeandikwa RHD, hio tayari inaonyesha inapita past bongoslum hadi nchi ambazo magari zao ni LHD.Mno tena kwa ushahidi sio fake cooked data kama ninyi View attachment 3420886
Zinapitia wapi sasa wakati hazionekani kwenye borders? 😂😂😂Nioneshe hiyo mizigo ikiingia Tanzania trucks 10 tu nikuoneshe trucks elfu 2 za Tanzania zikiingia Kunyaland"Inefficiency" ever heard of it? Ooohhh pole, wewe ni primary school dropout.
We kichaa kweli 😂😂😂 hiyo imeingia Dar, unataka kusema Dar kuna njia ya kwenda kwenye hizo nchi unazosema?The fact that imeandikwa RHD, hio tayari inaonyesha inapita past bongoslum hadi nchi ambazo magari zao ni LHD.
Kwa hivyo mzigo haiwezi kupitia Dar and proceed to another destination, kama hii ndio akili unatumia kuvuka barabara utakufa mapema.We kichaa kweli 😂😂😂 hiyo imeingia Dar, unataka kusema Dar kuna njia ya kwenda kwenye hizo nchi unazosema?
Unafanya kazi kwa border? Oooohhh unaropokwa tu kama kawaida yako.Zinapitia wapi sasa wakati hazionekani kwenye borders? 😂😂😂Nioneshe hiyo mizigo ikiingia Tanzania trucks 10 tu nikuoneshe trucks elfu 2 za Tanzania zikiingia Kunyaland
Video iko wapi?Niliziona mbaya sana.
Wakundustan kwenye comments wenyewe wanashangaa watanzania wasivyo na ufukara kama wao.
View: https://vm.tiktok.com/ZMScYk4nJ/
Wow kasarani inakaa tamu, hadi wewe unashtukaDamn this thing is cooked! Yaani huku ndipo final itachezwa?
View: https://youtu.be/8LlP39ZT4ZM?si=QEPR4pDFNxHI2OwO
View: https://youtu.be/OTzCXd1AbB0?si=xW8qnMm_C0TTmY_f
Bora anaeexport omba omba kuliko slavesKuna watu fukara kama nyinyi kweli? sijaona nchi inexport omba omba wengi kama nyinyi, hadi burundi wana nafuu
We jamaa unapenda kuropokwa. Si angalau siku moja utumie akili utushtueInflux ya malori ni kubwa bandari ya Dar ipo busy mara 1000 ya Mombasa, Mombasa port bila kufake numbers haitoboi
View: https://youtu.be/N3nSRVxxZkA?si=Hj1QIZ1MuSf5n_UK
Kuna ufukara zaidi ya omba omba?? Eti Tanzania hatuna ufukara kama......wazee wa kujiliwazaBora anaeexport omba omba kuliko slaves View attachment 3420920
Kila mahali tunawashinda inakua "kwenye makaratasi". Typical bongolalaToo busy ya kwenye makaratasi,njoo dar uone wingi trucks na gari ndogo za IT,kama hujafunga mdomo wako