Fundi kitasa
JF-Expert Member
- Mar 17, 2021
- 2,626
- 7,180
Izo ni sheria za nchi hatuwezi kubadilisha ila angalau kuna mambo muhimu na ya msingi inafaa tuunganishe kama sarafu moja, mitahala ya elimu,lugha na mengineyoSababu kubwa ya kutoungana ipo mpaka leo.
Huko kwingine watu walishagawana nchi zao.
Nyerere hakuwa mbinafsi
chunguzeni vizuri mama Magufuli alikabidhi fedha pale Chato kuna chumba kilikutwa na fedha!Geza atakuwa lini ni mtu mzima hovyo
Hii ndiyo point ya msingi kabisa. Kuna watu wanakuwa na uoga ambao hauna maana yoyote. Deep down ni chuki zisizo na maana. Geza Ulole anamchukia Magufuli mpaka leo. Ukiuliza sababu hana sababu yoyote. Vita ya Banyamulenge huko Congo DR chanzo chake ni Mobutu Sese Seko Kuku Ngbendu wa za Banga baada ya kuwakataa Banyamulenge kuwa siyo sehemu ya nchi yake.Yote tisa ila ukweli utabakia pale pale waafrika bila kuunguna tutaendelea kuwa wasindikizaji hapa duniani sasa unafikiri kwa mtazamo wako tutakuwaje bila kuunguna
Uongo. Hizo ni chuki zako dhidi ya watu wa kanda ya ziwa. Tunakujua kaka wala hutusumbui 🤣 🤣 🤣 🤣Ndio maana hapa ninakupiga pins huwezi kuhema. Chuki zako binafsi baki nazochunguzeni vizuri mama Magufuli alikabidhi fedha pale Chato kuna chumba kilikutwa na fedha!
Lengo kubwa ni nini?Izo ni sheria za nchi hatuwezi kubadilisha ila angalau kuna mambo muhimu na ya msingi inafaa tuunganishe kama sarafu moja, mitahala ya elimu,lugha na mengineyo
Rudi isome tena ile post yangu uielewe, utaiona hiyo $250B.Kwa hivo ushaatoka kwa $450B umerudi kwa $250B. 😂😂
Polepole tu utaamka usingizini.😂😂
Kuna sera ya Authenticité aliianzisha Mobutu ndiyo iliyofanya haya yote yanayoendelea mashariki mwa kongo. Citizenship Law of 1981 ya zaire iliibua mambo mengi sana na ilichochea ubaguzi. Makabila mengine kama Zoba wenye asili ya Sudan walikataliwa na Mabutu.Izo ni sheria za nchi hatuwezi kubadilisha ila angalau kuna mambo muhimu na ya msingi inafaa tuunganishe kama sarafu moja, mitahala ya elimu,lugha na mengineyo
Kuungana hakutatupa maendeleo kama sisi wenyewe tuna ufisadi wa nafsi.Yote tisa ila ukweli utabakia pale pale waafrika bila kuunguna tutaendelea kuwa wasindikizaji hapa duniani sasa unafikiri kwa mtazamo wako tutakuwaje bila kuunguna
Kumbuka Tanzania kuna wajaluo ila wajaluo watanzania hawapo kama walivyo wakenya pointi yangu ni haya mambo yanawezekana na mungano unawezekana ata kama ukiwa ni partial ila ndio njia pekee ya kujikomboa waafrika kutoka kwenye makucha ya nchi za magharibi kama kuna njia tofauti na iyo naomba uziiainisheLengo kubwa ni nini?
Kenya mpaka wana TV na Radio zinatangaza Kijaluo na Kikikuyu.
Wame-host kambi za kijeshi za Marekani na Uingereza.
Wewe unaona nchi hiyo iko serious.
Mtutsi anaona lugha yake na kabila lake ndio bora zaidi,utampa lugha ipi ya kuungana akuelewe!?Izo ni sheria za nchi hatuwezi kubadilisha ila angalau kuna mambo muhimu na ya msingi inafaa tuunganishe kama sarafu moja, mitahala ya elimu,lugha na mengineyo
Brother watu hawawezi kupigana tu bila root cause. Wewe fikiria hapo kenya tangu wapate uhuru kabila moja tu ndio wanaochukua Urais. Wakija kabila lingine wansema Ruto Must Go. They need to address this issue. Huko Ethiopia tayari CCM imewasadia kuepukana na changamoto hiyo.Mtutsi anaona lugha yake na kabila lake ndio bora zaidi,utampa lugha ipi ya kuungana akuelewe!?
Nenda kama Ethiopia hapo,Oromo,Tigrinyans na Amhara wanapigana kisa ukabila wanataka kupinduana kiutawala kisa ukabila,ndio taifa kama hilo useme liungane na mataifa mengine!??
Aisee embu wazeni nje ya sanduku makaka.
huko ukunyani huwa long distance passengers wanakula wapi tuwekeeni picha jamani.
Wapi CCM imewasaidia kuepuka changamoto!?Brother watu hawawezi kupigana tu bila root cause. Wewe fikiria hapo kenya tangu wapate uhuru kabila moja tu ndio wanaochukua Urais. Wakija kabila lingine wansema Ruto Must Go. They need to address this issue. Huko Ethiopia tayari CCM imewasadia kuepukana na changamoto hiyo.
Maana yake wanaishi Kitanzania.Kumbuka Tanzania kuna wajaluo ila wajaluo watanzania hawapo kama walivyo wakenya
Lazima dalili ziwepo.pointi yangu ni haya mambo yanawezekana na mungano unawezekana ata kama ukiwa ni partial ila ndio njia pekee ya kujikomboa waafrika kutoka kwenye makucha ya nchi za magharibi kama kuna njia tofauti na iyo naomba uziiainishe
Sipo mbali na wewe ila angalau tuanze kuunganisha mambo ya msingi ambayo ni lugha sarafu na mengineyo mpaka pale tutakapo tatua na kupunguza kwa kiasi kikubwa hayo mambo uliyoyainisha ndio tuingie kwenye full muungano mbali na hapo ni uongoKuungana hakutatupa maendeleo kama sisi wenyewe tuna ufisadi wa nafsi.
Wewe nchi yenyewe iko corrupt leo uje UANZISHE muungano wa mataifa ilhali taifa Moja Moja lina shida!??
Msisingizie vitu vingine,nchi za Afrika mna matatizo makubwa manne na nayataja kwa herufi kubwa.
1.MASSIVE CORRUPTION.
2.LEADERS' SELFISHNESS.
3.ABUSE OF POWER.
4.GREEDNESS OF POWER.
5.NEPOTISM
6.TRIBALISM.
Tatuweni hizi shida ndio muzungumzie maendeleo.
Mathalan Muammar Gaddafi amesalitiwa na waafrika wenzake.
Mnategemea muungane ilhali mna hizo dosari!?
Tanzania inaamini kwenye ukomunisti na Kenya kwenye ubepari.Maana yake wanaishi Kitanzania.
Lazima dalili ziwepo.
Wewe unazungumza kuhusu kunitoa makucha ya magharabi, wakati:
- Kenya ina host kambi ya kijeshi ya Uingereza, BATUK
- Kambi ya akijeshi ya Marekani, CAMP SIMBA
- Non NATO ally
Sasa huoni hata malengo mna tofautiana??
Wewe unaenda Mwanza, mwenzako anaenda Lindi halafu unasema mnaungana.
Yaanza kutatuliwa hayo ndio mengine yaje.Sipo mbali na wewe ila angalau tuanze kuunganisha mambo ya msingi ambayo ni lugha sarafu na mengineyo mpaka pale tutakapo tatua na kupunguza kwa kiasi kikubwa hayo mambo uliyoyainisha ndio tuingie kwenye full muungano mbali na hapo ni uongo
Kaka sitaki kuongea sana kuhusu Kenya. Maana Tanzania kupitia CCM ipo katika mikakati ya kutatua tatizo lao kisomi kama tulivyotatua huo Ethiopia. Nataka nieleze tu namna CCM ilivyo saidia kwa hekima ya juu sana.Wapi CCM imewasaidia kuepuka changamoto!?
Huwenda hufuatilii habari mkuu.
Ethiopia huko majimbo ya Oromo bado raia wanapigana mapanga kwa utofauti wa kikabila, vurugu za mwisho zimetokea miezi miwili tu iliyopita.
Kenya ukiona watu wanaandamana ni kiukabila,hata kampeni za kisiasa zinafanyika kikabila.
Unategemea taifa kama hilo uliunganishe na mataifa mengine?