concordile 101
JF-Expert Member
- Oct 13, 2013
- 6,999
- 15,466
Hata kabla ya kuitandua bado uwezo wa kubeba mpaka behewa 40 ulikuwepoSi waliitandua reli na kuiweka nyingine hadi Tabora kama sijakosea na kuifanya kuwa continuous welded wakisema pia wameongeza upana wa gauge?
Umesoma mpaka level gani mpaka ushindwe kutofautisha kati ya electricity production na access?I can debunk everything you've said here with hard facts but I'll end up wasting a lot of time with a blind patriot like you. Because I don't have luxury of time like you do, I'll pick your first point- electricity.
Tanzania leading in electricity production while you lag behind in electricity access rate and connection. Even Uganda is doing better than you in this front. When we share these figures here, mnasema ni za kupikwa, mara zimetengenezwa na wazungu. I repeat here for a millionth time, you have a long way to go to even start thinking about comparing yourselves with us in anything
Afadhali umeniambia nisingekaa hapa kubishana na kondoo kumbe mimi sikujua nabishana na kondoo 🤣🤣🤣Ungejua tofauti ya LDC and MIC hungekaa hapa kubishana na kondoo. But i can’t blame you simce you are a Primary School dropout.
Mkuu utahama nje ya mada, point kuu ni hiyo video aliyoleta jamaa ya kusukuma mabehewa kwa injini zaidi ya moja.Engine mbili mbele zikivuta na mbili nyuma zikisukuma sio? Leta ikiwa na engine moja na mabehewa 100!
Daah usiitukane Kabul kaka aisee.Nairobi looks more of Kabul, Afghanistan.
Angalia hapa data hiyohiyo ya 2020African countries show mixed progress towards poverty reduction and half of them have an extreme poverty rate above 35%
Extreme poverty will become a predominantly Sub-Saharan African phenomenon in the coming decade and the continent will be home to the lion’s share of the global poor by 2030. The recently published Poverty and Shared Prosperity report 2020 shows...blogs.worldbank.org
View attachment 3403183
View: https://x.com/WorldBank/status/1317435268614492160?t=Et3gkwOjOjcN8rWLmH_tJw&s=19
Ndo tunakuambia hujui hata unachoongelea hata hiyo sgr hakuna kichwa kimoja Cha treni kinachoweza vuta behewa hata 80 zikiwa na mizigo . Nenda Dunia yoyote ukileta treni ya hivyo najitoa hapa.Engine mbili mbele zikivuta na mbili nyuma zikisukuma sio? Leta ikiwa na engine moja na mabehewa 100!
Umesema vizuri, hoja yako kuu ilikuwa kwamba MGR inaweza kuongeza injini. Tayari tumekubaliana kwamba inawezekana kinadharia, lakini utekelezaji wake una mipaka kulingana na miundombinu iliyopo (loops, braking, signaling, curvature nk).Point yangu ilikua hapo tu kwenye kuongeza injini basi.
Ila pia tukija kwa mizigo bado hatuna uhakika wa mizigo Kila siku.
Sidhani kama kutakua Kuna idadi ya mizigo unayoitaja Kila siku.
Upande wa abiria Tanzania Ina wasafiri wengi tu kama watazingatiwa.
Running cost kwenye treni za abiria ukitoa maintenance ya locomotive ni coach attendants na vyakula,sgr ni mwendokasi haihitaji vyakula vizito pia vyakula vyenyewe hivyo hivyo vinauzwa na kuongeza kipato.
Coach attendants wapunguzwe maana ni wengi ndani ya behewa Moja.
Sijaona running cost kubwa kwa sgr pax trains.
Unaposema nadharia inamaana ni imaginary na haiwezi tokea,sema kuwa haiwezekani kulingana na miundombinu iliyokuwepo.Umesema vizuri, hoja yako kuu ilikuwa kwamba MGR inaweza kuongeza injini. Tayari tumekubaliana kwamba inawezekana kinadharia, lakini utekelezaji wake una mipaka kulingana na miundombinu iliyopo (loops, braking, signaling, curvature nk).
"Hatuna uhakika wa mizigo kila siku" – Je ni kweli?
Bandari ya Dar es Salaam, Hub ya mizigo kutoka nchi 6 zisizo na bandari (DRC, Zambia, Rwanda, Burundi, Uganda, Malawi) kuna maelfu ya kontena kila wiki.
Viwanda vya ndani na vya mikoa vinahitaji kusafirisha mizigo mingi (Mfano: Dangote – Mtwara, Mbeya Cement, makaa ya Ruvuma n.k.).
Sio kweli kwamba hatuna uhakika wa mizigo kila siku
Ukiongeza upana maana yake unatakiwa kununua mabehewa na vichwa cya treni vipya. Kaka imefanyiwa maboresho tu, ni hiyo hiyo MGR. Teknolojia yake imepitwa na wakati ndio maana tumekuja na SGR.Si waliitandua reli na kuiweka nyingine hadi Tabora kama sijakosea na kuifanya kuwa continuous welded wakisema pia wameongeza upana wa gauge?
Kwa upana wa gauge na reli iliyotandikwa na kuboreshwa wakinunua locomotive zenye ufanisi zaidi itapendeza japo sidhani kama wataliwaza hilo.Ukiongeza upana maana yake unatakiwa kununua mabehewa na vichwa cya treni vipya. Kaka imefanyiwa maboresho tu, ni hiyo hiyo MGR. Teknolojia yake imepitwa na wakati ndio maana tumekuja na SGR.
MGR itasaidia kusogeza mizigo kutoka local na kuleta kwenye SGR. Kwa mfano kwa sasa itabeba mzigo kutoka mpanda kuja Tabora kabla ya SGR haijajengwa.
Tukiongelea mizigo, kuna mizigo mingi sana. Arsuha na Manyara wataleta mizigo Dodoma. Mizigo kutoka Mbeya, Malawi, Zambia, Iringa, Njombe na Ruvuma itachukuliwa Dodoma Ihumwa.
Mizigo ya maparachichi, Chai na Kahawa kutoka nyanda za huu kusini. Zitakusanywa na magari kisha kuletwa Dodoma na kusafirishwa nje ya nchi kwa kutumia Msalato Airport.
Kaka nchi yetu ipo vizuri sana.
Nadharia siyo imaginary kaka. Nadharia ni kitu kilichoandikwa kweye karatasi na huenda kikafanyiwa simulation. Imaginary ni kitu ambacho kipo kwenye ndoto tu hakina uhalisia kwenye paper au kwenye real.Unaposema nadharia inamaana ni imaginary na haiwezi tokea,sema kuwa haiwezekani kulingana na miundombinu iliyokuwepo.
Una uhakika kaka hiyo idadi ya mizigo itakua inasafirishwa Kila siku kama usemavyo!?
Tupo hapa tusubiri.
Acheni kudanganyana, kilichoifanyabtrc kufa ilikuwa siasa kama za sasa za kutaka wawekezaji, wakaja wahindi rites group, Toka hapo trc haijawahi kuwa sawa mpaka leo.Ukiongeza upana maana yake unatakiwa kununua mabehewa na vichwa cya treni vipya. Kaka imefanyiwa maboresho tu, ni hiyo hiyo MGR. Teknolojia yake imepitwa na wakati ndio maana tumekuja na SGR.
Ingekuwa ni kwa ajili ya kusogeza mizigo tu basi isingefanyiwa ukarabati kuanzia kigoma na mwanza mpaka dar es salaam .MGR itasaidia kusogeza mizigo kutoka local na kuleta kwenye SGR. Kwa mfano kwa sasa itabeba mzigo kutoka mpanda kuja Tabora kabla ya SGR haijajengwa.
Mtu wa njombe, Malawi, Zambia Wala ruvuma hawez leta mzigo Dom wakati kutakuwa na tazara itayokuwa imeboreshwa hizo ni siasa tuTukiongelea mizigo, kuna mizigo mingi sana. Arsuha na Manyara wataleta mizigo Dodoma. Mizigo kutoka Mbeya, Malawi, Zambia, Iringa, Njombe na Ruvuma itachukuliwa Dodoma Ihumwa.
Acha porojo za siasaMizigo ya maparachichi, Chai na Kahawa kutoka nyanda za huu kusini. Zitakusanywa na magari kisha kuletwa Dodoma na kusafirishwa nje ya nchi kwa kutumia Msalato Airport.
Kaka nchi yetu ipo vizuri sana.
Kaka gauge haipanuliwi tu kama barabara. MGR yetu imetengenezwa kwa kufuata Kontua za mtiririko wa mito.Kwa upana wa gauge na reli iliyotandikwa na kuboreshwa wakinunua locomotive zenye ufanisi zaidi itapendeza japo sidhani kama wataliwaza hilo.
Maana zipo nchi hizo MGR zao zina ufanisi mkubwa sana .
Wewe huna uwezo wa kujadiliana na mimi kaka. Unaandika kwa emotionsAcheni kudanganyana, kilichoifanyabtrc kufa ilikuwa siasa kama za sasa za kutaka wawekezaji, wakaja wahindi rites group, Toka hapo trc haijawahi kuwa sawa mpaka leo.
Mgr bado Ina nafasi kubwa sana ikisimamiwa vizuri maana hata maboresho yaliyofanyika ni ili itembea kwa speed ya 70km/ hr ambayo bado itafaa kwa usafirishaji wa mizigo kwa haraka kuliko hata lorry.
Ingekuwa ni kwa ajili ya kusogeza mizigo tu basi isingefanyiwa ukarabati kuanzia kigoma na mwanza mpaka dar es salaam .
Mfano kabla ya kufika igandu kuna kipande Cha km mbili wanakinyanyua ili kuepusha usombwaji na maji.
Ina maana bado itaendelea kufanya kazi tu .
Mtu wa njombe, Malawi, Zambia Wala ruvuma hawez leta mzigo Dom wakati kutakuwa na tazara itayokuwa imeboreshwa hizo ni siasa tu
Acha porojo za siasa
Hakuna upana uliongezwa bali wamerekebisha sehemu korofi na kuichomelea mwanzo mwisho, pia imeongezewa tonnage capacity.Kwa upana wa gauge na reli iliyotandikwa na kuboreshwa wakinunua locomotive zenye ufanisi zaidi itapendeza japo sidhani kama wataliwaza hilo.
Maana zipo nchi hizo MGR zao zina ufanisi mkubwa sana .
Wewe uwezo wako huwa mdogo sana na bahati mbaya unaendekeza siasaWewe huna uwezo wa kujadiliana na mimi kaka. Unaandika kwa emotions
Tazara inekuwepo miaka na miaka kilichopelekea kufanya kazi ni inefficiency ya watumishi hivyo kupelekea wateja kukimbilia malori, ila kwa sababu inaenda kuwa chini ya mchina tegemea ubora kuongezeka.TAZARA ipo kwanini kuna malori kibao kutoka huko Mbeya, Iringa,, Njombe, Ruvuma Zambia na Malawi?
Naomba unijibu kwanza swali hili ili tuendelee kituo kwa kituo.
Naona unalalamika sana 🤣 🤣 🤣 🤣 huenda umeumizwa sana na TRC. Sasa unataka tusijenge SGR? Maana unang'ang'ania MGR na tumekueleza MGR haiwezi kufunga mabehewa 100.Hakuna upana uliongezwa bali wamerekebisha sehemu korofi na kuichomelea mwanzo mwisho, pia imeongezewa tonnage capacity.
Vichwa bado vitaweza kutumia vile vya zaman, pia kuna mradi wa kufufua mabehewa na vichwa vya zamani ili viweze tumika.
Ni ufanisi tu unaotakiwa.
Ukitaka amini kuwa trc hawako serious omba kusafirisha mzigo wako kwa trc hata behewa moja tu kama mzigo wako hujaupata miezi miwili ijayo namaanisha kwenda kigoma au mwanza.
Wengi tunapofushwa na uendeshaji wa sgr sasa hivi kwa kuhisi kuna itakuwa hivyo
Kama trc kigoma tu kupata ticket ya kusafirisha mpaka ukalale stend au ukanunue kwa madalali itakuwaje kwenye mizigo ya maskini au mtu wa behewa moja? Trc anasafirisha Azam tu , kina dangote wanaona ni mizinguo tu ni sasa hivi tu sgr bado mpya Kila kiongozi anaitolea macho
Kaka siyo wewe uliyoikataa Private Sector kwenye reli? Imekuwaje tena hapo kwenye reli?Wewe uwezo wako huwa mdogo sana na bahati mbaya unaendekeza siasa
Tazara inekuwepo miaka na miaka kilichopelekea kufanya kazi ni inefficiency ya watumishi hivyo kupelekea wateja kukimbilia malori, ila kwa sababu inaenda kuwa chini ya mchina tegemea ubora kuongezeka.
Kwahiyo usitegemee mtu afunge safari km 700 kuja kupakia mzigo wake kwenye sgr then apeleke dar wakati anaweza pitiliza mpaka dar kwa lorry au huko mbeleni kwa tazara na akakimbia gharama kubwa
Ukisema haiwezi kufunga behewa 100 uwe na evidence ya written document.Naona unalalamika sana 🤣 🤣 🤣 🤣 huenda umeumizwa sana na TRC. Sasa unataka tusijenge SGR? Maana unang'ang'ania MGR na tumekueleza MGR haiwezi kufunga mabehewa 100.
Tunajenga SGR ili kutatua changamoto zote hizo.