concordile 101
JF-Expert Member
- Oct 13, 2013
- 6,994
- 15,449
Ndio nachomaanisha trc iuze hisa ili kupata mtaji na pia mtendaji mkuu awe anateuliwa na wanahisa tu na sio ategemee uteuzi kama crdb na nmbNdo maana kasema TRC SGR iwekwe stock exchange, watu wanunue hisa huko. Wenye shares waamue jinsi ya kumake profits
Serikali isimamie uwajibikaji na kuchukua Kodi zake.
Same with UDART, Air Tanzania, TTCL nk
Kuwa watchman kwa airport haimaanishi umepanda ndege.Mkundu wako, hujui how airlines operate, ni kwasababu hujawahi kupanda ndege. Ndege yeyote ikitoka popote lazima itue nyumbani then inawa disperse abiria sehemu tofauti tofauti. Kwa mfano kama abiria atatumia air Tanzania (TC) from Mumbai to DRC, lazima aje Dar kwanza then ndiyo apelekwe Congo. Hujawahi kupanda ndege that's why uko layman.
Operation cost sio kubwa sana ila trc kwa sababu ya ufisadi wanazifanya ziwe kubwa. Mfano tu badala ya kuwa na wahudumu wa mapokezi na wakuelekeza upandaji , wenyewe wameweka wahudumu wa kuuza korosho za 2000 ambazo unakuta mhudumu akishauza korosho mbili za 4000 anatulia zake akisubiria mshahara, kumbuka hao wahudumu Wana posho ambayo hailingani na wamachozalisha. Ingependeza Kila mhudumu alipwe kwa anachoingiza na akabidhiwe behewa kama ilivyo kwa mabasi na nauli ipande kulingana na jinsi abiria wanavyopenda huduma za mhudumu wa behewa husika.Operations na running cost ya SGR DSM to DOM ni kubwa sana. Na bado kuna some final touches zinaendelea kufanyika. Ndio maana kila siku ubora wa safari una ongezeka.
Na Sasa hivi wana mpango wa kwenda full auto electric. Loco zitakuwa controlled kutoka main stations... Mifumo ya signalling Sasa Iko vizuri.
Ila bado kuna wahuni wanaiba nyaya za copper Hadi sasa. Ni changamoto kwa kweli...
Wakenya wameingia TZ wameshangaa cars zilizopo TZ. Wanasema Tanzania gari kubwa kubwa tu SUV. Wanaendesha mawaziri wa Kenya
View: https://vm.tiktok.com/ZMSpc5A2t/
Dangote akitumiwa vizuri anamzigo mkubwa sanaCement ya Dangote yatua Dodoma kupitia SGR ya umeme
View: https://youtu.be/iiaJ9U6pfxk?si=94FhCt00dmJIiN2f
Bongolala, I don't work at World Bank neither do I know anyone who works there. World Bank produced this data for public consumption. If it pains you so much, waandikie barua uwaambie kwamba taarifa yao siyo sahihi. Hii kelele unapiga hapa will not change anything about WB mentioning Tanzania in that report of shame!
Brother unaongea theories, unless upo na ajenda tofauti. Kwahiyo operation cost ya SGR ni zero?Hakuna gharama ya uendeshaji wa trc bali wanalazimisha uonekane ni gharama , fikiria kukodi behewa la tan 40 mpaka dom ni 2.5mil kwa mizigo ila haya mabehewa hurud empty ila ukienda kwenye abiria hasa economy ni walau 2.7 na huwa haliridi empty , na tukisema basi limejaza kwa 70% go and return ni 3,822,000 . Hapo kuna dereva 1, mhudumu 1, mkata ticket 4 na nyongeza ya wahudumu wa ziada 10 kwa Kila behewa kwa kadirio la juu sana , gharama ya umeme ni nusu ya diesel .
Kama ishawahi Fanya kazi kwenye taasisi ya serikali gharama huwa zinaongezwa
Kaka mzigo wa dangote ni wa kawaida sana. SGR ikiwa full operational, kuna mzigo wa madini kutoka West Tanzania, Burundi na DRC.Dangote akitumiwa vizuri anamzigo mkubwa sana
Hao Wasouth upendo wao kwetu unatuongezea or kutupunguzia nini hasa?Why are you always bitter over Kenya?
Tukiwaambia Wasauzi hawampendi kisa mmepeleka tabia zenu mbovu huko mnatuita wabaya.
Wafunge CCTV reli nzima. Mtu akikamatwa afungiwe maisha na kuwa shamed in public
Kwa comments za baadhi ya watu kuhusu hii SGR hawashindwi kuisabotage.
Operation cost sio kubwa sana ila trc kwa sababu ya ufisadi wanazifanya ziwe kubwa. Mfano tu badala ya kuwa na wahudumu wa mapokezi na wakuelekeza upandaji , wenyewe wameweka wahudumu wa kuuza korosho za 2000 ambazo unakuta mhudumu akishauza korosho mbili za 4000 anatulia zake akisubiria mshahara, kumbuka hao wahudumu Wana posho ambayo hailingani na wamachozalisha. Ingependeza Kila mhudumu alipwe kwa anachoingiza na akabidhiwe behewa kama ilivyo kwa mabasi na nauli ipande kulingana na jinsi abiria wanavyopenda huduma za mhudumu wa behewa husika.
Mkuu nadhani wewe ndo tunaongelea theories , mpaka sasa hakuna hela inayoelelezwa kwa ajili ya ujenzi wa hivyo vipande ulivyosema kwa sababu hela za ujenzi huo tayar zinashatafutwa kwa kutafuta mikopo.Brother unaongea theories, unless upo na ajenda tofauti. Kwahiyo operation cost ya SGR ni zero?
Mkuu hakunaga kuanza serikalini , lazima tujiulize hizo hela zote zinaenda wapi sababu bado tuko kwenye grace period( hatujaanza lipa mkopo wa sgr) kwa hiyo gharama tunayolipa ni kwa ajili ya uendeshaji na opareshen tuu, sidhan kama kuna hata hela inavyoenda serikali kuuTreni ndiyo zimeanza kufanya kazi tu, kutoka Dar kwenda Dodoma.
Sijajua inachomaanisha ila chukua mfano tu una kampuni ya mabasi na inafanya usafirishaji wa vifurushi mpaka Dom ila Huna sehemu ya kuhifadhi pale wateja wanapochelewa ila unataka wawekezaji wengine wa kujengee, lazima upotee tuInvestment ya reli siyo kama investment ya uuzaji wa nyanya. Storages zitajengwa na watu wengine. Wacha TRC ifanye jukumu lake mama la usafirishaji.
Mfano hapo Kwala, Rwanda na Burundi wamejenga maeneo yao.
Tusifagilie private sana , maana hata hao wawekezaji wengi wao ni wageni tuuze hisa ili tupate hata wawekezaji wadogo kutoka ndani ya nchiHata huko kwingine watajenga private sectors.
Unachosema ni theory huwa wanaformula kwa ajili ya pesa ya mfuko mkuu, maendeleo na uendeshaji. Mimi nipo kwenye pesa ya maendeleo kwa sasa, wangekuwa wanatenga hata 800mil kwa mwezi inayotokana na pesa ya maendeleo kwa ajili ya miundombinu sawa. Leo hii wameshindwa hata kuingiza reli ya pili pale Dodoma terminal kwa kisingizio Cha operation cost.Pesa za mapato ya SGR gawio litaingizwa kwenye mfuko mkuu wa serikali kwaajili ya kufanikisha ujenzi wa SGR matawi mengine kama Kutoka Tanga - Arusha - Musoma.
Unaendelezaje hivyo vipande huku watu wanasubiria mwezi mzima kupata behewa la mgr kusafirisha mzigo huku kina mabehewa maelfu yamejazana pale puguDar - Korogwe. Mtwara - Mbamba bay.
Hakunaga pesa ndogo ila nia , tukisema ufanyike ukaguzi ambao hauhusishi ofisi ya cag letsay wawe kpmg utakimbia kwa wizi uliopo trcNa treni zingine za kwenye majiji makubwa.
Yaani vipesa vidogo hivyo vya nauli za abiria zitumike kufanya investment kubwa? SGR watajiendesha na nini? TRC ni shirika linatakiwa wafanyakazi wake walipwe mshahara TRC siyo serikali kuu
Tunashindwa kuendelea kwa mentality kama zako kwa kuamini kuwa haiwezekaniHizo mentality zako hizo ndizo zimetufanya tukashindwa kuendelea.
Wewe umedandia kwa mbele. Fuatalia Uzi ujue huu mjadala imetoka wapi na inaelekea wapi. Stop being a busybody!We co-founded SADC, but you are shouting as if SADC is all about location.
You can't understand SADC more than we co-founders do.