Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Tz iko na umeme hadi vijijini huko.. this is mlali morogoro 👇🏾
IMG_9656.jpeg
IMG_9655.jpeg

Nilikua huku jioni ya leo, nani ako Morogoro tuje tupate moja mota moja baridi. Nipo Samaki samaki sahii. 👇🏾
IMG_9657.jpeg
 
Nani anajifariji?
Ukweli unauma au siyo!?
Wewe na wenzako ndio mnaumwa na ukweli. You said the same thing about CHAN but as we already all know, the finals will be held in Nairobi.

Now you are saying how much we'll not host AFCON. Mezeni tembe ya maumivu coz yajayo yanafurahisha!
 
Hata kama tunachelewa ila tunajenga kulingana na uhitaji.
Sasa kaka mfano Morogoro ukajenge flyover ya nini?
Ndio tunapokosea hapo tunafaa tujenge kulingana na uhitaji wa mbeleni sio sasa kama serikali inafahamu mji unapanuka kwa kasi kwanini wajenge lane 2 alafu badae baada ya miaka 5 waje wabomoe tena waongeze lane moja kila upande
 
Wewe mbumbu kutoka Kibera haya mambo huwezi kuyajua. Tanzania ni kubwa sana hapa Duniani
View attachment 3400814

Wewe hata sijui nikuambie nini

Wewe na wenzako ndio mnaumwa na ukweli. You said the same thing about CHAN but as we already all know, the finals will be held in Nairobi.

Now you are saying how much we'll not host AFCON. Mezeni tembe ya maumivu coz yajayo yanafurahisha!
Hiyo CHAN imeshachezeka?
Unadhani kwa yanayoendelea ndio muachiwe mu host Afcon!?
Heheheh poleni sana time will tell.
 
Ndio tunapokosea hapo tunafaa tujenge kulingana na uhitaji wa mbeleni sio sasa kama serikali inafahamu mji unapanuka kwa kasi kwanini wajenge lane 2 alafu badae baada ya miaka 5 waje wabomoe tena waongeze lane moja kila upande
Shida nayo serikali yetu wataalamu huwekwa pembeni na siasa zinatawala hadi kwenye utaalamu.
 
Gari sita chini: 4 na mbili kulia, then gari tatu juu. Nyie ni Taifa lawatu wapumbavu sana 🚮 🚮
Sasa interchange ya nini hapo na hakuna hata gari, no wonder the country is flat-broke🚮🚮
Yani hakuna ubize wowote ule wa magari ila wamba wakapoteza mipesa yote hiyo.😂😂😂😂😂hawa jamaa akili hawana.
 
Hiyo CHAN imeshachezeka?
Unadhani kwa yanayoendelea ndio muachiwe mu host Afcon!?
Heheheh poleni sana time will tell.
Of course time will tell and I am going to quote you a few days from now when teams will be jetting in Nairobi from across Africa. The funny thing is, some of the teams that are going to play their matches in that glorified fishing village will first land in Nairobi before making the journey south. As I told you, yajayo yanafurahisha!
 
Gari sita chini: 4 na 2 kulia, then gari tatu juu. Nyie ni Taifa la watu wapumbavu sana 🚮 🚮
Sasa interchange ya nini hapo na hakuna hata gari, no wonder the country is flat-broke🚮🚮
Sema tu unaumia bongolala 🤣🤣🤣. Si Kila siku mnasema hapa eti Kenya Kila kitu ni Nairobi!? Now the beats have changed. Mtaumia sana!
 
Ndio tunapokosea hapo tunafaa tujenge kulingana na uhitaji wa mbeleni sio sasa kama serikali inafahamu mji unapanuka kwa kasi kwanini wajenge lane 2 alafu badae baada ya miaka 5 waje wabomoe tena waongeze lane moja kila upande
Ila sisi tukijenga vitu kama hizi kulingana na uhitaji wa mbeleni tunaitwa wapumbavu! 👇
Gari sita chini: 4 na 2 kulia, then gari tatu juu. Nyie ni Taifa la watu wapumbavu sana 🚮 🚮
Sasa interchange ya nini hapo na hakuna hata gari, no wonder the country is flat-broke🚮🚮

Mitanganyika jamani! Mtasumbuka hadi lini? 😂😂😂
 
Of course time will tell and I am going to quote you a few days from now when teams will be jetting in Nairobi from across Africa. The funny thing is, some of the teams that are going to play their matches in that glorified fishing village will first land in Nairobi before making the journey south. As I told you, yajayo yanafurahisha!
Fishing village hii ndio itayotamatisha mashindano.
 
Back
Top Bottom