chongchung
JF-Expert Member
- Jun 23, 2013
- 14,740
- 46,079
Ukitaka kuona flyover,interchanges lazima uende Dar es salaam...that's enough to tell you venye hio nchi ikoHaha nje ya Dar Kuna cities like Mombasa kisumu or Nakuru kweli???
Even ruiru-thika stretch???
Dar yenyewe ni takataka tu ndugu ya Ibadan or Enugu
Kunyaland imechukua mikopo mikubwa saivi wana zaidi ya 90 billion dollars debt lakini hakuna lolote walilofanya zaidi ya thika highway sababu expressway ni PPP na Talanta na bado uchumi upo mortuaryUkiona Addis wala hata huwezi kuhoji mikopo.
SGR, GERD, Beatiful Addis Ababa, Expressway.
Njoo Kenya sasa.
Deni Mlima, maendeleo Kibaba.
Ethiopia uchumi wake upo bias sana kulingana na maeneo,pia vitu vingi alivyowekeza sio productive kiasi hicho.Ukiona Addis wala hata huwezi kuhoji mikopo.
SGR, GERD, Beatiful Addis Ababa, Expressway.
Njoo Kenya sasa.
Deni Mlima, maendeleo Kibaba.
Hujaona they reported more bed capacity wakati hakuna capacity hiyo. mapishi full, mwisho wa siku ndio mnachukua aggregate data na kuja kupiga nazo kelele humu.Do you know the meaning of the word data kijana wa Tandale? Where is data mentioned in that statement? Ama ndio kujiliwaza? Read to understand
Sasa hiyo ndio Kibera ya Daresalaam.Takataka tupu.
Mchwa kila mahali.
Thats Mukuru stop lying buda.That's Kibera slum as usual. You asked for Mukuru slum I gave you an answer but since it's not what you expected, you've resorted back to Kibera as usual
Haya mwanaume kaongea sasa maandamano mengine ni lini vile?
Hawa kima wataharibu AFCON 2027Kunyaland unaweza kufikiria wana general elections kesho kwa namna politics zilivyopewa kipaumbele, hivi hawa watu wanafanya kazi saa ngapi? Ila election yao ijayo ni ukabila Promax yale ya 2007 yatakua mara 10 sababu saivi ni ukabila tu
View: https://x.com/Kenyans/status/1942856933033017764?t=07UzwnRm_ml6Wz0T6TzcnA&s=19
Ame hit kwenye jugular vein 🤣🤣🤣Kunyaland unaweza kufikiria wana general elections kesho kwa namna politics zilivyopewa kipaumbele, hivi hawa watu wanafanya kazi saa ngapi? Ila election yao ijayo ni ukabila Promax yale ya 2007 yatakua mara 10 sababu saivi ni ukabila tu
View: https://x.com/Kenyans/status/1942856933033017764?t=07UzwnRm_ml6Wz0T6TzcnA&s=19
Hawa wanachukua mikopo kulipa mishahara ya wafanyakazi na wanasiasaKunyaland imechukua mikopo mikubwa saivi wana zaidi ya 90 billion dollars debt lakini hakuna lolote walilofanya zaidi ya thika highway sababu expressway ni PPP na Talanta na bado uchumi upo mortuary
Kwahiyo interchanges na flyovers siyo issue za ku-solve TRAFFIC JAM tena, ila zinajengwa kwasababu ya maonesho???Ukitaka kuona flyover,interchanges lazima uende Dar es salaam...that's enough to tell you venye hio nchi iko
Najua hilo.Ethiopia uchumi wake upo bias sana kulingana na maeneo,pia vitu vingi alivyowekeza sio productive kiasi hicho.
Jibu na facts,uswazi hovels owner.Toka nje ya hizo nyumba za mabati, akili ipanuke