Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

You read my mind ….🤣🤣🤣🤣
markup_39781 (1).png
markup_41354.jpg

bwaku ngaji katika ubora wako
 
Yaan umaskini uliopo Kenya, Mungu ndo anajua. Yaan mpaka watu wanafikia hatua hii ya kuiba viroba vya unga ujue maisha yamefikia shingoni.
Halafu wanasemaga wako civilized online.

Tanzania tulishatoka huko. Tanzania watu walishadevelop, ni serikali tu kuwekeza na kuongeza infrastructure

Huku Kenya Bado kuna kazi kubwa ya kufanya

View: https://www.facebook.com/share/v/1DTvZeFgaH/
 
Back
Top Bottom