Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 76,180
- 107,774
Ukunduni hii structure inazidi ile terminal pale JKIA!
Shida Kadogosa alikuwa anawaza Ubunge tu, aliyekuja afanye kaziYaan wako slow sana, we fikiria hata kuongeza treni sasa hivi wamekausha wakati abiria wamezid mzigo.
Muda mwingi hata logic yao ya mizigo haiji maana dom - dar kukodi behewa ni 2.5mil kwa tan 40 huku kwa abiria ukienda na kurud tayar uko na zaid ya 4mil kwa behewa na kwa sasa ni tren tatu tu ndo zinafanya trip za dodom, mbili zinafanya trip tatu moja inafanya trip mbili
Sasa bwana govi SGR Tz imeanza operation lini.? 😂😂😂😂😂. Hadi kufikia April this year 2025 SGR report shows that more than 2.3 million passengers walitumia SGR. Reli ya sgr Tz ilianza operation June 25 last year 👇🏾
Sema SGR wameimprove sana kwa upande wa ukataji wa ticket. Nimependa jinsi Tanzanians wanavyoelimika haraka kwenye tech. Siku hiz wale wa dirishani hawana kazi kabisa. Watu wanascan kwa simu zao tu kuingia kwenye train.Alikuja na majivuno wenyewe wanaita pride kwa kiswahili chao kibovu asijue mwaka wa kwanza tu SGR Tanzania imepindua meza!
SGR Tanzania itapita 2.5 mln PAX ukizingatia mwezi wa June hata frequencies za trains na flights ziliongezeka kutokana na mahitaji!
Mbona mmefunika running tracks na carpet?
Because it's time for soccer. Not athletics!!Mbona mmefunika running tracks na carpet?
Yaan hili la ticket inabid tu wapunguze tu wale watu wa madirishani kampeni ihamie kwenye selfserviceSema SGR wameimprove sana kwa upande wa ukataji wa ticket. Nimependa jinsi Tanzanians wanavyoelimika haraka kwenye tech. Siku hiz wale wa dirishani hawana kazi kabisa. Watu wanascan kwa simu zao tu kuingia kwenye train.
Hili limeongeza sana upatikanaji abiria sasa hivi unakuta mtu yuko huko Dom ndani anajipatia ticket yake bila hata dalali.Siku hiz kupitia mpesa, bank, nk kote huko unakata ticket yako online na hakuna haja ya kuprint.
Zamani ilikuwa kawaida kukuta bonge la foleni watu wakikata ticket kama ilivyo Kenya kwenye kuprint, sasa hakuna kabisa.
Nakumbuka malalamiko ya huyu Liv Kenya. Yote yamefanyiwa kazi. Kazi iliyobaki ni kuongeza treni routes sasa.
View: https://youtu.be/TqryCZcJAO0?si=IkKuPzxXFUlHpU8o
Hata kwenye BRT system ni week tu sasa wamestopisha matumizi ya cash. Watz washaelewa sasa na kila mtu either ana mwendokasi kadi au Anatumia simu yake kuingia kwenye BRT stations. Walete hayo mabasi sasa and problems za BRT systems zitakuwa zimeisha.
Hakuna kitu hapaZero air traffic uko sure ? Au unaongea huu ni mfano tu mind you Dodoma ni mji mpya kabisa sio kama Mombasa ambayo imekuwapo kwa miaka zaid ya 50
View: https://x.com/AirTanzania/status/1931716689693151335?t=dyt_rApFU2dMW2yrwFsRjg&s=19
Kama tulianza 14/06/2024 dar Moro na 25/07/2025 na bado tuko na 2.3mil mpaka April kufikia 30/06/2025 tunaweza kuwa na 2.76mil kwa wastan wa abiria 230,000 kwa mwezi🤣🤣🤣🤣Sasa bwana govi SGR Tz imeanza operation lini.? 😂😂😂😂😂. Hadi kufikia April this year 2025 SGR report shows that more than 2.3 million passengers walitumia SGR. Reli ya sgr Tz ilianza operation June 25 last year 👇🏾View attachment 3394974.,., Mwanzo | TRC. Mnuka nnya unatafuta kujipa faraja,.? Mamamayo. 🤣🤣
Hakuna kitu ebu tupe maelezo ya hiiHakuna kitu hapa
Poooor.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Not even 50%, it should be 100%. Waafrika tuna shida, why do we need foreigners to mine minerals for us? Like, mining is simply digging something from the ground, how complicated is that?
Ukitaka efficiency ni kuhusisha private sectors hata huko china walivutia sana foreigners baadae wamebaki na technology wanazid kusonga mbele🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Digging something from the ground.
Brother upo serious kweli 🤣🤣🤣
Ushawahi chimba madini?
Ili uweze jichimbia Africa as 100%
Unatakiwa uwe unatengeza all mining machinery 100% na uwe na viwanda vya kuconsume like 50% to 60%.
Otherwise ni kazi bure wakiona yanakupa kiburi wanakukatalia kukuuzia spares za machine (Refer tulichofanyiwa Williamson Diamond Mine baada ya kuunationalize, plus Socialism)
Kingine post independence Tanzania sisal production ilikua inachangia 60% ya GDP na export ilikua boom ila Baada ya foreign policy, na Socialism ambayo ilituweka Communism Block, capitalist block ilifanya namna Zao likapoteza soko, I think umejifunza hata kwa China inavyofanyiwa.
Africa sanctions moja, or one trade tariff madini yote hasara tupu.
So ukitaka 100% uwe unayatumia 80% na unatumia tech yako. Kuanzia Machinery, manpower, chemical, etc