Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Multipartism hatukuichagua kaka, ililazimishiwa tu na world order.
 
Multipartism hatukuichagua kaka, ililazimishiwa tu na world order.
Kama tulilazimishwa, na hatuwezi kuiepuka kwanini tusii-customize iendane na mahitaji yetu?

Tufute multipartism.

Wote tuwe chama kimoja, then tuweke utaratibu wa MERITOCRACY.

Maana sasa hivi, kwasababu kuna CHADEMA basi CCM inaokota wahuni tu kwasababu wanaweza kudeal na CHADEMA.

Sasa hivi ukiona kundi lililoko UVCCM la kina akheri James, Makonda, Juma Homera, Sabaya, mtoto wa Mwigulu, Jokate, NIKKI WA pili unaona nchi hii ina FUTURE kweli???

Anyway, sidhani hii siyo thread yake.
 
Why would I cry?โ€ฆ ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃโ€ฆ your comeback is wack !โ€ฆ I am living my American dream whereas you got ur ass handed to you by ICE . Your ban is 10 years per the law. You got 8 more years to go ..Stay away ..๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
Kuishi America kwako ni dream nzuri sio. What a myopic thinking for an African man. I am dissapointed in you as a fellow African.
 
Hapo kwenye usaliti sasa,sijawahi kuona upinzani wa nchi yoyote duniani unapambana nchi yao iwekewe vikwazo,yan upinzani tayari hata utengeneze matukio ili tu nchi ionekane ya kidikteta,upinzani ulimfelisha magu kwa % flan aliporeact hata wenzake huko ccm wakawa kama awamuungi mkono,alipofariki wakataka kuwabeba wapinzani if magu akuwa sahihi,kilichowakuta ndio wanajua magu alikua na maono ya mbali
 
Yani hili suala linaniumiza moyo sana.. yangekua ni mamlaka yangu ningefutulia mbali vyama vyote vya hovyo kwenye hili taifa.

Sio kisa eti mmepewa fursa ya kugombea nyazma mbali mbali za kiuongozi, eti Ndio muone pia mko huru kufanya ushenzi.. how on earth mtu anaenda kutaka eti taifa likose misaada au wadhamini.? How on earth mtu anaenda eti kuvujisha taarifa za taifa kwa mwekezaji wa kigeni ili kukwamisha marekebisho ya mikataba ya madini.? Ambayo kimsingi marekebisho hayo yanafanywa ili sasa wanachi au nchi inufaike.?

Yule fala Lisu ni wa kuuliwa kwa kunyongwa hadharani. Mtu yeyote anaemsapoti yule ni mpumbavu tu kama wapumbavu wengine. The guy deserves death.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ